Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,092
- 136,654
Tena lilimuuma sana watu kuweka umri wake hadharani, miaka 55+ sio mchezo, keshastaafu.
Hahahaa nyie watu bana....haya ngoja tu nisalimu amri.
Tena lilimuuma sana watu kuweka umri wake hadharani, miaka 55+ sio mchezo, keshastaafu.
Hahaha una hasira wewe......
Ila hatukujuana barabarani ujue.....
Usijichekeshe hapa..haijalishi hata tungejuana chooni ila ulichokifanya ni udwanzi..kufatilia habari za watu kama wataka kuchumbia eboo😱...nna hasira ndio ukiingia kwenye anga zisizokuhusu sicheki na kima...yalishaisha lakini😉
Oh yeah.....ile kama huna mbio tangulia mbele? Hii ni ukweli mtupu ujue...
This is serious...mimi ningekuwa na watoto wa kike ningekuwa nawa monitor mitandao wanayotembelea na watu wanao connect nao...unakuta vi teenagers ndio haswa vina misuse social networks...hatari sana...kuna watoto wanajiuza facebook...just imagine...wazazi hawana hili wala lile...
Kuwa bullied mtandaoni ni kujitakia tu. Ukishea na mtu privacy zako, humjui-hakujui, akija kukugeuka unamlaumu nani. It's simple, don't share your privacy with everyone. Mnatuma picha za uchi au mnatongozana mtandaoni...unategemea mkikosana itakuwaje?
untongoze akaaaaaa....
Kwa kweli kuna umuhimu wa kuelimisha vijana wetu.
Huko IG mtu anapost picha kalala, au ndo ameshajifunika anataka kulala, mie hubaki mdomo wazi tu.
Siku hizi kila kitu ni kuposti tu.
Duh..! Thank God nilikoma zamani..!
vyeti vyangu haali mimi siogopi chochote ujue
nimesota four years na majivuno ya ma mramba,mwl.dorie,mrs.bakari,mwl.safari bajahanuni bila kumsahau mwirike na kiingereza chake cha kilugha
bado hostel advance jumlisha mishe za malektara pande za higher learning
najivunia elimu na ualimu wangu ujue
Ndo maana sisi (mimi na bi mdogo) huwezi kutukuta huko kwenye hayo ma mitandao. Si Facebook wala Instagram.
Hata humu ni mwendo wa NN na Jini Mapembe tu.
Sasa atayejisikia kuni-troll (au katika akili yake kuni-bully), then the joke is on him coz he/ she will never ever know the real me. Never.
Unakuta mtu katoa ushuzi halafu eti anaenda kubandika huko Instagram na lisura lake analiweka huko. Seriously?
Halafu, jambo jingine la kuepuka (at least kwa wajanja kama sisi) ni hizo sijui party za JF.
Nitapiga kelele weee kwamba nakuja sijui nini nini.....but at the end of the day I know I'll be a no-show.
Hebu imagine siku kweli niende kwenye moja ya hizo party.......hahahaaaa. *** no!
We jifariji tu kwa cheti halali, ila watafanya cyberbullying kuwa umeghushi vyeti sijui utamlilia nani?
Ndo maana sisi (mimi na bi mdogo) huwezi kutukuta huko kwenye hayo ma mitandao. Si Facebook wala Instagram.
Hata humu ni mwendo wa NN na Jini Mapembe tu.
Sasa atayejisikia kuni-troll (au katika akili yake kuni-bully), then the joke is on him coz he/ she will never ever know the real me. Never.
Unakuta mtu katoa ushuzi halafu eti anaenda kubandika huko Instagram na lisura lake analiweka huko. Seriously?
Halafu, jambo jingine la kuepuka (at least kwa wajanja kama sisi) ni hizo sijui party za JF.
Nitapiga kelele weee kwamba nakuja sijui nini nini.....but at the end of the day I know I'll be a no-show.
Hebu imagine siku kweli niende kwenye moja ya hizo party.......hahahaaaa. *** no!
Mi sikuiweka hio update wameweka wenyewe mods hata title ya thread wamebadili wao!Na sijui kwanini....georgeousmimi ondoa iyo update mpenzi inakuwa ndefu inachosha kusoma tutaiona tu kwa figa
Usijichekeshe hapa..haijalishi hata tungejuana chooni ila ulichokifanya ni udwanzi..kufatilia habari za watu kama wataka kuchumbia eboo😱...nna hasira ndio ukiingia kwenye anga zisizokuhusu sicheki na kima...yalishaisha lakini😉
Kwahiyo unataka nini haswaa?
Kama yalishaisha sasa ni nini unakiendeleza hapa?
Na Kwanini imekuwa very big deal to you?
Kwani hayo yaliyotokea yalitokea humu jukwaani?
Find the right place unimwagie hizo hasira zako na siyo kuyazungumzia humu , hata haipendezi.