RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,801
- 129,644
Mhh kazi kweli kweli......
we ushawahi kuwa victim wa cyberbullying?
Mhh kazi kweli kweli......
hivi watu wanavyomshambulia Le Mutuz mkaree wa ma babes sio cyberbullying???!! jamaa ana roho ngumu sana angekuwa na roho nyepesi angekimbia jf
Mwenzangu nilitaka nikomeshe hizi team sifa za kijinga vs team hoehae vs team wadangaji naona nimezuiwa kiaina.sinza kwetu
Igweeeeeeee!!!
Na badooo mbona huu mwanzo tu kazi kubwa yajaaaaa.Mhh kazi kweli kweli......
Inakuwaje post zangu zinafutwa nilitaka kuonyesha jinsi bullying inavyofanya kazi jf na imeaffect vp wa2 na life yao kwa ujumla sikuwa na nia mbaya.
Kwani ni uongo kuhusu teams mbona zipo?na makocha wao wapo au kwa kuwa mnayasponsa mnafichaficha. Habari nilitaks kuzimwaga nyingi ili bullying ipungue ila mmenizingua na modz wenu.
Kwani uwongo watu hawajaibiana mabwana umu? kwani uwongo watu wamevunjiana ndoa umu that's y chuki zimezidi? kwani uwongo watu kusambazia wakaka picha zao za uchi wasap? kwani uwongo makundi yamekimbia jukwaa au mnawaona siku hizi?
I think that's just trolling. I wouldn't call it bullying because they just wanna get under his skin but fortunately for him and unfortunately for them, he is a pachyderm. And as such I really admire him for that trait.
Halafu unajua nini....sidhani kuna hata mmoja anayeweza kumwambia ana kwa ana mambo wamwambiayo humu.
The internet can create a whole bunch of tough guys and gals.
Hakuna anayetisha mwenzie #ushakunaku madanga yamepungua nowadays LOLAm not scared scratch my back i will scratch yours ... no fear
Mdogo wangu tulia wanaume ndivyo walivyo ata mwenzio alifanyiwa hivi hivi.Usijichekeshe hapa..haijalishi hata tungejuana chooni ila ulichokifanya ni udwanzi..kufatilia habari za watu kama wataka kuchumbia eboo😱...nna hasira ndio ukiingia kwenye anga zisizokuhusu sicheki na kima...yalishaisha lakini😉
haaaahaaaahaaa looooh ata weye waongeaWanaokonda kisa jamiii kazi kwao aisee, mtu hadi unakuja na id mpya ndio ujue mwoga balaaaaa
what if u do the same to a weak person?? trolling can lead to bullying??? coz what people say may not trouble le mutus but doing the same to somebody else inaweza kuleta madhara kwa huyo mtu.
Hakuna anayetisha mwenzie #ushakunaku madanga yamepungua nowadays LOL
if i gonna tell everything will be banned coz my previous post has beeen deleted with no reason.... i av strong evdnc but how shud i take it out?Dude, do you have proof of what you're talking about or are you just doing crazy talk?
If it's crazy talk, then I get it.
But if it's true then it ought to be underpinned by some solid, compelling evidence.
Mdogo wangu tulia wanaume ndivyo walivyo ata mwenzio alifanyiwa hivi hivi.
if i gonna tell everything will be banned coz my previous post has beeen deleted with no reason.... i av strong evdnc but how shud i take it out?
my previous posts has been deleted with no reason....how shud i gv things out if will be banned?Dude, do you have proof of what you're talking about or are you just doing crazy talk?
If it's crazy talk, then I get it.
But if it's true then it ought to be underpinned by some solid, compelling evidence.
haaaahaaaahaaa looooh ata weye waongea
Yeah, there is a fine line.
But more of what goes on in here behind these noms de plume is trolling because, for example, me and you don't know each other.
You don't know my principal place of abode, you don't know my real name, you don't know what I do for a living, etc.
And what that means is that, you don't really have the necessary ammo to make my life a living hell.
Or do you really think that you can attack NN in here and make his life miserable?
What ammo do you have to make that happen?
i wont do that even if i know u.
watu wanajuana humu so it can happen.