Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Sasa mtu anatafuta likes kwa kukashifu na kuzusha....??? Si aandike vitu vya maana apate hizo likes
kama sina akili ya kuandika vya maana?
Sasa mtu anatafuta likes kwa kukashifu na kuzusha....??? Si aandike vitu vya maana apate hizo likes
Kwa njia moja au nyingine cyberbullying inahusiana na misuto haswa wahusika wanapoamua kuchukua hatua !Misuto naweza kusema ni matokeo ya cyber bullying haswa wahusika wanapoamua kusimama dede na kujitetea au kumpa bully makavu live!Hivi cyberbullying inainclude misuto ambayo mara nyingi huanzia mmu na kuhamishiwa chitchat? Au hiyo ni.counter cyberbullying?
Hahaha una hasira wewe......Yes dear...humu kichefuchefu....nilijaribu kujuana na asakuta same hata masaa hayakupita alinitibua...nikaamini ya ngoswe aachiwe ngoswe mwenyewe...pm nakausha..tujuane hapahapa kwa uzi yatosha
Cyberbullying is the use of information technology to repeatedly harm or harass other people in a deliberate manner.[1] According to U.S. Legal Definitions, Cyber-bullying could be limited to posting rumors or gossips about a person in the internet bringing about hatred in other's minds; or it may go to the extent of personally identifying victims and publishing materials severely defaming and humiliating them.[2]Hivi cyberbullying inainclude misuto ambayo mara nyingi huanzia mmu na kuhamishiwa chitchat? Au hiyo ni.counter cyberbullying?
Hahaha shemu Mimi huyo hatukukutania barabarani bana.......asakuta same huyuhuyu pacha wa mume wangu Shark?.....jamani mbona kakufanyia hivoooo.
asakuta same huyuhuyu pacha wa mume wangu Shark?.....jamani mbona kakufanyia hivoooo.
ole wake mtu aje kunizunguka mbuyu uwiiii ntanyooka nae afu ni ushamba wa hali ya juu
kama sina akili ya kuandika vya maana?
Sasa mtu anatafuta likes kwa kukashifu na kuzusha....??? Si aandike vitu vya maana apate hizo likes
namkumbuka ticha wangu alikuwa anatusisitiza "vijana jitahidini kutafuta umaarufu, jamba hata mbele za watu ili uwe maarufu"
kwani anaongelewa na wajameni tujuzane basi nani nipate cha kukoment teh...
hebu toa kitangawizi chako hapa....Mi nakumbuka, tena wewe ndo ulikuwa mjambaji maarufu pale skonga. Hivi yule ticha anaitwa nani vile na yupo wapi siku hizi? kitambo sana hatujaonana.
hebu toa kitangawizi chako hapa....
Kwa njia moja au nyingine cyberbullying inahusiana na misuto haswa wahusika wanapoamua kuchukua hatua !Misuto naweza kusema ni matokeo ya cyber bullying haswa wahusika wanapoamua kusimama dede na kujitetea au kumpa bully makavu live!
pole sana
yaani kuna watu washenzi humu sijui wamekulia wapi
unaweza hisi ni watu wenye buasar kumbe zero kabisa
mi hvyo ndo vinaniogopesha hata kujuana na watu humu
maana mi binafsi ikitokea hvyo ntakachokufanya sijui yaani km utanisahau
nipe hela nkuambie....