Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Ulilala nn lolest maana umekosa mambo ujue
nilikuwa banned nini kimetokea naona limebaki vumbi tu
Ulilala nn lolest maana umekosa mambo ujue
nilikuwa banned nini kimetokea naona limebaki vumbi tu
Huyu mod wa MMU nae kauzu sana, haangalii hata watu wa kupiga ban, kwa mtt kama lazima ucheze fair play.
Weee mbona mi nakujuaa...
Nlikua cjakuelewa yan unanijua nje ya jf......kama unanijua kweli naomba utupie ka picha kangu na jina halisi
Nitupie hapa jukwaani? Sema hakyamungu...!
Hakyamungu
Hakyamungu
nimekumbuka utoto...ukiambiwa sema hakyamungu...unazuga 'hakyababa'....ukilazimishwa unajitetea kuhapa kwa jina la Mungu dhambi...hapo jua huyo mtu muongo huyo...
Duuuuh ya kweli?how had anakpga picha,?ulikua unafanyiwa operation?pole sana km ni.kweliUmeona eeeeeee.
Yaani tulianzia hospital, tukaingia kwenye upenzi....ghafla kupigana mapicha, then nayakuta mtandaoni....goshhhhh!!!!!
Duuuuh ya kweli?how had anakpga picha,?ulikua unafanyiwa operation?pole sana km ni.kweli
Umeona eeeeeee.
Yaani tulianzia hospital, tukaingia kwenye upenzi....ghafla kupigana mapicha, then nayakuta mtandaoni....goshhhhh!!!!!
Bufa ebu nisaidie yule manager wa Bank alie jiua kisa kuanikwa utupu wake ile ni nini? Naweza kuwa sijui sana mkuu.
Umesoma maelezo yangu!! Kwa picha za utupu zilizovuja ni upu.mbavu wa waliojipiga hizo picha, they shouldn't have taken them in the first place. Hiyo kwangu sio cyber bullying ni ujinga wao