Cyberbullying

Cyberbullying

Kuna watu ni ma bully na hawajijui...hii kitu ni relational/relative...
Unaweza kumjibu kitu NK akakuona mpuuzi...lakini ukampa jibu hilo hilo mtu mwingine likamuumiza kwa muda mrefu...
kuna watu wanaweza kukupa jibu ambalo unaweza kuona wame panic...lakini ndio personality... tunatofautiana sana...
 
Bullying ipo sana NN na Kongosho msikatae.....

Mimi sijakataa kwamba bullying ipo (hivi kwa Kiswahili inaitwaje?). Ninachokataa ni kuchanganya trolling na bullying.

Mtu hunijui utaanzaje kuni-bully? Tunakutana humu kwa utambulisho usio halisia, hujawahi hata kunitia machoni na wala haitotokea unitie machoni hata siku moja, hujui nilipo, hujui nikoje - mrefu, mfupi, mnene, mwembamba, n.k., hujui nina kiwango changu cha elimu, hujui maishani najishughulisha na nini.....

Sasa huna habari zangu zozote zile ambazo ni za ukweli na ambazo unaweza kweli ukazithibitisha, utaanzia wapi kuni-bully?

Ndiyo, unaweza ukanitukana vijitusi ambavyo wala si vipya, utaniita vijina hapa na pale, utarudia uzushi ule ule wa kusadikika, but that is only as far as you can go.

Huna ammo zozote zile za ukweli ambazo unaweza ukaziweka humu na kuanza kuninyanyasa.

Uje humu uanze kusema sijui NN ni punga au sijui NN ana miaka 70....really?

We mwenyewe unayesema hivyo huenda hata huamini unayoyasema ila unayasema tu kwa sababu unataka kunikera.

Kwa hiyo kwangu madongo yarushwayo humu mengi huwa ni trolling na si bullying.
 
Kuna watu ni ma bully na hawajijui...hii kitu ni relational/relative...
Unaweza kumjibu kitu NK akakuona mpuuzi...lakini ukampa jibu hilo hilo mtu mwingine likamuumiza kwa muda mrefu...
kuna watu wanaweza kukupa jibu ambalo unaweza kuona wame panic...lakini ndio personality... tunatofautiana sana...

Great point!

Watu tumetofautiana sana uelewa na jinsi ambavyo tuchukuliavyo mambo.

Mimi hawezi kuni-bully mtu humu kwa sababu najua kwa uhakika kuwa identity yangu ya ukweli najua sana kuilinda.

Sana sana huwa wanani-troll tu tena kwa mambo ambayo wala haya ukweli hata chembe.

Utawezaje kuli-bully jitu ambalo hata hulijui? Unam-bully mtu ambaye unamjua na unam-bully kwa kutumia habari zake za kweli (mfano vile bifu za wale akina dada ma blogger ambao huwa hadi wanabandika picha za watoto wa wenzao wakiwa wanatukanana mitandaoni).

Lakini hizi rabsha rabsha tu za akina NN na NK humu si bullying hata kidogo. Nitaanzia wapi mimi kuku-bully wewe NK wakati sijui A wala B yako zaidi ya kusoma mabandiko yako tu humu?

Lakini, naweza kujaribu kukuchokoza wewe kama NK na wewe ukarudisha madongo halafu mwisho wa siku kila mtu anarudi kwenye uhalisia wa maisha yake ya kila siku.
 
Sana sana sana, wengine personality tu ni ngumu kumesa. Ukimjibu mtu unaweza kum offend bila kujua.

Anyway, kitu kikubwa ni kuepuka socialization zisizo za lazima.

Kuna watu ni ma bully na hawajijui...hii kitu ni relational/relative...
Unaweza kumjibu kitu NK akakuona mpuuzi...lakini ukampa jibu hilo hilo mtu mwingine likamuumiza kwa muda mrefu...
kuna watu wanaweza kukupa jibu ambalo unaweza kuona wame panic...lakini ndio personality... tunatofautiana sana...
 
Aya nmekuskiaa......nmebadil id ili nibadilike cjabadil id kwaa ajil ya kina Lara1......istoshe akuna anaenijua humu zaid ya mzabzab afu msipende kuwajaji watu msiowajuaaa

Weee mbona mi nakujuaa...
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo mnataka wote tuwe na ideas sawa? Wengine wataleta utoto, masikhara, ujinga na upuuzi. Ndivyo maisha yalivyo, hata huko mitaani, kazini, misikitini na makanisani ndivyo watu walivyo..!

Mtu kwenye busara anachanganua kipi cha kuchangia na kipi sio cha kuchangia. Ajabu Ni kuwa tunalalamika lakini ikija thread ya kipuuzi sie ndio wa kwanza kuipa traffic.

Kuwa bullied mtandaoni ni kujitakia tu. Ukishea na mtu privacy zako, humjui-hakujui, akija kukugeuka unamlaumu nani. It's simple, don't share your privacy with everyone. Mnatuma picha za uchi au mnatongozana mtandaoni...unategemea mkikosana itakuwaje?

word......................
 
Karibu nakula wali kisamvu na samaki, mi ngoja nile nishibe mwaego wenye stress kazi kwao teh teh

Hahahaaaaa kula mwaya ushibeee....mie mwenyewe nashibajee apaa yani full burudan watajiju na stress zaoo hukooo
 
Hahahaaaaa kula mwaya ushibeee....mie mwenyewe nashibajee apaa yani full burudan watajiju na stress zaoo hukooo

Wanaokonda kisa jamiii kazi kwao aisee, mtu hadi unakuja na id mpya ndio ujue mwoga balaaaaa
 
Back
Top Bottom