Cyberbullying

Cyberbullying

kwani anaongelewa nani wajameni tujuzane basi nani nipate cha kukoment teh...

Kwani hii thread ina maudhui ya kumuongelea mtu fulani? I don't think so..! After all gorgeousmimi isn't that kind of a woman..! I respect her for that.
 
Last edited by a moderator:
Kwani hii thread ina maudhui ya kumuongelea mtu fulani? I don't think so..! After all gorgeousmimi isn't that kind of a woman..! I respect her for that.

what do u think then....anyway mi nafikiri ni specifically kwa watu fulani wenye hiyo tabia tajwa hapo sredini..
I doubt................
 
Last edited by a moderator:
Kama huna kifua unatakiwa kwenye hii mitandao upite kimya kimya...te te te...

Ha ha ha siwezi kuwa bullied mtandaoni...si najitoa tu...ha ha ha...
Ila kabla sijatoka nakupa za uso kwanza nikupime nguvu...unaweza kuwa kidagaa tu....

Wengi wanaolia kuwa ni victims wao ndio attention seekers...
wanajianika issue zao mitandaoni...wakija wanaojua dark side zao ndio inaanza kuwa issue...ukijianika uwe na kifua...
Kuna mtu tulikuja kutofautiana akawa anani bully na matusi kwenye nyuzi. Nilipokuja ku retaliate alitia akili. Hovyooo!!
 
Back
Top Bottom