Mpuuzi mmoja hivi,Yeye Mkoba hajui shida za walimu badala ya kushukuru yeye anaanza kulaumu ,nia apate ujiko kuwa alishiriki kufanikisha hilo jambo,huo ni wivu wa kike,jeyeye na chama chake ni kipi wamefanya kusaidia waalimu kuondokana adha ya maisha duni na tabuwanazopata kila siku
HIVI HUYU ALIYELETE HOJA YA WALIMU KUSAFIRI BURE ALIKUA ANAWAZA NN MAANA, KAMA NI MSAADA KWA WALIMU NAONA KAMA SERIKALI ITAKUA HAIJATOA MSAADA, KAMA WANAHITAJI KUWASAIDIA BASI WAWALIPE STAHIKI ZAO ZOTE NA MADENI YOTE HALAFU KILA MWALIMU ALIPE NAULI KAMA KAWAIDA ILI KUONGEZA KIPATO CHA TAIFA, LAKIN HII DANGANYA TOTO HAIFAI, MAANA HATA MANUFAA YAKE BADO CJAYAONA KAMA NI KUTAKA WAWAHI KAZINI ILIBIDI WATAFUTIE USAFIRI MAALUM, KAMA NI KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA ILITAKIWA WAPEWE MISHAHARA MIZURI, NA WALIPWE MADENI YOYE, KAMA NI MOTIVATION ILI BIDII KUWE NA UTARATIBU MAALUM WA KUTUMI USAFIRI MMOJA KWA WALIMU WOTE........HIVI NI NINI HASA MANTIKI YA HOJA HII NAFIKIRI HII NDIYO KAZI TUU, ILA SI KAZI BORA
Yeye Mkoba hajui shida za walimu badala ya kushukuru yeye anaanza kulaumu ,nia apate ujiko kuwa alishiriki kufanikisha hilo jambo,huo ni wivu wa kike,jeyeye na chama chake ni kipi wamefanya kusaidia waalimu kuondokana adha ya maisha duni na tabuwanazopata kila siku
Huyo atakayesafiri bure unadhan Konda ataelewana nae mdau???mimi sioni tatizo kwani itakuwa ni lazima kila mwalimu asafiri bure ? au itakuwa kwa anayetaka tu?
Mwenyekiti wa chama cha walimu Tanzania G. Mkoba amesema haoni kama ni sahihi kwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni kuingia kwenye makubaliano na wenye mabasi ya daladala ya kuwasafirisha walimu bure bila kuwashirikisha walimu wenyewe, hivyo ameshauri kuwa ni vizuri mambo yanayowahusu waalimu yakawa yanawashirikisha walimu.
Chanzo: Clouds tv
Huyo atakayesafiri bure unadhan Konda ataelewana nae mdau???
Yeye Mkoba hajui shida za walimu badala ya kushukuru yeye anaanza kulaumu ,nia apate ujiko kuwa alishiriki kufanikisha hilo jambo,huo ni wivu wa kike,jeyeye na chama chake ni kipi wamefanya kusaidia waalimu kuondokana adha ya maisha duni na tabuwanazopata kila siku
Nimefanya makubwa na nitaendelea kufanya, Mkuu tofautisha Maneno na vitendo, hata ww unaonekana ni mtu wa bra bra nying vitendo ovyo kama makonda a.k.a Misifa, wilaya yake ndo chimbuko la kipindpindu Tanzania, lakin kwasababu akil zenu ziko sawa Ndo mana unamsifiaWeye NgoniDema na Watu wengi wenye fikra Kama zako .Mnaonyesha Chuki na WIVU mliokuwanao dhidi ya DC Makonda. Huyu DC Makonda ni mzalendo ambaye anajali watu wa Kinondoni. Kaangalieni alivyo ibadilisha Kinondoni.kuhusu Ardhi,Ajira kwa vijana na kujenga shule kwa misaada ya wananchi.
Weye NgonoDema na wafuasi wako au(The HATERS) mmefanya nini ktk jamii zetu???????????
Walimu wa dsmWalimu? Walimu wa kinondoni?