CWT yapinga walimu kusafiri bure

Hivi makonda yupo humu siku hizi,anashinda insta na kina gigy money
 

!!
Makonda ataibua mjadala mzito sana na hii kukurupuka kwake
 
!
!
Vipi kuhusu manesi?
Kwan nesi anaingia kwenye daladala kutibu watu?

Kuna mikoa Askari wanafanya escort ya mabasi wanakaa kwenye seat kama abiria na wanalipwa....mkuu nikwambie tu askari ilitakiwa akipanda gari lako umlipe na sio kuanza hizi mambo sijui akulipe...acha tu wadandie daladala zetu tumeridhia japo inauma kiasi lkn usalama wetu ni muhimu kuliko 400au600 atayolipa
 
Hiv ww ni mgeni apa Tanzania yani wiki tu yote yengekuwa ayafanyi kazi
 
Huyo Mkoba aeleze njia mbadala ya kuwafikisha walimu kwenye vituo vyao vya kazi kila siku.
 
Kama lengo n kumsaidia mwalimu ni kununua mabas kwa ajili yao
 
Mwenyekiti wa chama cha walimu, ni zaidi ya wale ambao mheshimiwa Nape aliwahi kuwaita mawaziri mizigo, nawewe ni MWENYEKITI MZIGO. Mheshimiwa Makonda, bila kujali wazo litaleta manufaa au hapana, ila kikubwa amafanikiwa kuanzisha mjadala kuhusu maslahi na UMUHIMU wa walimu katika kukuza kiwango cha elimu. Hakuna kiongozi mwenye busara anayeweza kupinga wazo lake bila kutoa mbadala. Inawezekana isizae matunda lakini amefanikiwa kukumbusha....JE WEWE MKOBA UMEFANIKIWA NINI, AU UMEFANIKIWA KUKOSOA? kaendelee kukusanya kodi ya jengo letu...
 
Hivi huyu taka taka Mkoba anafikiri hii ni sheria? Hii ni zawadi tuu kwa walimu wa Dar na hakuna anaye lazimishwa kuichukua? Zawadi hii haimzuii Mkoba kuendelea kupigania haki za Walimu!

Hii si sheria ni zawadi tuu kutoka kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri wala si lazima walimu wafate...!

Mkoba wambie walimu yale makato kwa CWT yanafanya kazi gani?
 
Watafanya waalimu wakabwe na vibaka bure alfajiri wakiwahi nauli ya bure, maana bure inaanza saa 11 alfajiri.
 
Hivi Makondakta wakigoma na wakamlipisha nauli Mwalimu je ni Kosa Kisheria? na huu mzigo kwanini wabebeshwe Raia ? Serikali kama imeshindwa iachie Madaraka wengine waongoze...! Walimu tu mbona kuna sekta zinazopokea mshahara nusu ya waalimu wao wanaonekana wapuuzi?
 
Nilisha sema humu ndan na narudia tena ktk Wakuu wa Wilaya wa ovyo kabsa toka tupate Uhuru Makonda ni namba1, hivi kwann asingefanya mpango huwo kwa wanafunz wakapanda bure!!
Weye NgoniDema na Watu wengi wenye fikra Kama zako .Mnaonyesha Chuki na WIVU mliokuwanao dhidi ya DC Makonda. Huyu DC Makonda ni mzalendo ambaye anajali watu wa Kinondoni. Kaangalieni alivyo ibadilisha Kinondoni.kuhusu Ardhi,Ajira kwa vijana na kujenga shule kwa misaada ya wananchi.

Weye NgonoDema na wafuasi wako au(The HATERS) mmefanya nini ktk jamii zetu???????????
 
Nahisi wewe ni makonda a.k.a wakukurupuka.
 
unajua watu wanaichukulia hii issue ni kama vile Amri imetolewa kumbe wala... asiye taka hachukui kitambulisho anayetaka anapewa ... take it as a favor mnapewa na wamiliki wa mabasi kutokana na mchango wenu kwa watoto wao na sio sheria
Mkoba anawakilisha maslahi ya nani...
 
mizuka itamtoa roho makonda anatafuta cheti cha DC bora mwaka 2016
 
Makonda Ana laana ya kupiga na kutukana wazee waliomtangulia. Akaombe msamaha kwa warioba na lowassa. Project zote anazobuni n kufanya zinakufa na hata ili ya walimu Itabuma tu.
 
Mkoba ni jipu 100%..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…