CV ya Mwanasheria mkuu wa Serikali Jaji Stephen Werema

CV ya Mwanasheria mkuu wa Serikali Jaji Stephen Werema

Mwaka 2011 nilishawahi kusema huyu mtu uwezo wake ni mdogo sana na nikasema kuna haja ya kupitia kwa kina hukumu alizotoa akiwa jaji.Ni lazima atakua alitoa hukumu kandamizi au zenye upendeleo

Tukileta CV yake ili ikamilike nadhani na nukuu zake alizowahi kutoa ziwekwe ili kuitendea haki CV hii nzito iliyosheheni usomi na experience!
We mwenyewe uitumii elimu katika kuwaza,mara ngapi umetetea Hoja za kipuuzi kwa uliokuwa nao na Mahaba
 
Lau Masha kajuaje? Yeye ndo alisahihisha mtihani wake? Na Masha alisema hivyo lini na wapi? Yupo on record akisema hivyo au alibwatuka akiwa keshakunywa pombe Rose Garden?

I like this....Ha ha ha!

I hope huyo reliable source alikua kind enough ku-apologize kukimbia kwake National Service 1980's na kwenda America .Baadae katika mazingira tata akaja kuwa Home Affairs Minister.Duh!
 
We mwenyewe uitumii elimu katika kuwaza,mara ngapi umetetea Hoja za kipuuzi kwa uliokuwa nao na Mahaba

Acha hasira.Elekeza hasira zako katika suala zima la kujifunza kiswahili fasaha.
 
Hizo modal verbs husumbua (wanasheria) wengi na si yeye tu. Tushawahi kuwa na kamjadala kule kwenye jukwaa la sheria kuhusu hizo verbs hususan kwenye sheria za kazi.

sikuona huo mjadala wenu lakini kwa ninachofahamu Cap 1 ipo clear kwenye hilo (nakaribisha marekebisho yako)
 
Yeye AG alifanya hiyo exam mwaka gani? Na mtu kwa Tanzania anapewa attempts ngapi?

Bado haiingii akilini kwamba jamaa aliyefeli hicho ki-exam eti ndo aje kuwa judge na AG....haingii akilini kabisa.

Na bado siamini hadi nipate sources zingine zaidi ya watu tu humu (tena wenye chuki dhidi yake) kusema bila supporting evidence.

Kuna website moja hivi ina orodha ya mawakili wote wa Tanzania. Ngoja niitafute niangalie kama yupo...walau hapo nitakuwa nimepata pa kuanzia.

Hicho unachokiita ki-exam kimetoa ushamba wanasheria nguli wengi namaanisha wamefeli wengi wapo waliokua wakifeli mara moja hawarudi tena sina ushahidi wa kutosha kama mh.AG alifanya zaidi ya mara ila nachojua mimi hajawai kufaulu.
Mbona wapo wanasheria nguli na mashuhuli waliosota kupass bar exam na wengine kwa kugundua ugumu wake na kuogopa aibu ya kufeli waliamua kutofanya kabisa mfano prof. Kabudi
All in all bar exam ndio ilikua kiboko ya mbwembwe zote na kimtihani cha masaa machache tu ila shughuli yake ni zaidi ya kupanda kilimanjaro uliza waliopita watakuambia
 
Bila ushahidi kwamba kweli alifeli itabaki kuwa ni maneno yako tu hadi hapo utakapotoa ushahidi kwamba kweli alifeli hicho kimtihani.

Mbona wapo wanasheria nguli na mashuhuli waliosota kupass bar exam na wengine kwa kugundua ugumu wake na kuogopa aibu ya kufeli waliamua kutofanya kabisa mfano prof. Kabudi

Unamzungumzia Palamagamba Kabudi? Yule genius wa sheria aliyepata festi klasi (ya sheria) ambayo huwa tunaambiwa na Pasco humu kuwa ndo ngumu kupatikana katika kozi/fani zote zinazofundishwa hapo UDSM....yaani unasema kwamba huyo bwana licha ya kupata festi klasi hapo UDSM baadaye alikuja akakacha kufanya hicho kimtihani cha uwakili kwa sababu ni kigumu sana?

Yaani huyo genius akaogope hako kamtihani? Hiyo habari wewe umeitoa wapi? Manake huyo bwana ni mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba na kwenye tovuti ya hiyo tume kuna kiji-profile cha wajumbe kinachoelezea elimu pamoja na tajiriba zao na ya huyo bwana Kabudi inasomeka hivi:

Nafasi: Mjumbe Elimu: LL.B (Hons) First Class Division – (Dar), LL.M – (Dar), Dr. Juris – Freie Universitaet Berlin.

Uzoefu:
Dean-UDSM School of Law, Head of Department of International Law, Chairman – Institute of Tax administration Governing Council, Trustee – Social Action Trust Fund, Council Member St. John’s University of Tanzania, Member – National Community Service Board, Member-Board of Trustees ACODE (Uganda), Journalist, Advocate of the High Court of Appeal of Tanzania, Publications includes The Union of Tanganyika and Zanzibar and Human Rights Jurisprudence in East Africa. Chanzo

Sasa bwana Mbeky naomba unieleze hapo nilipopakoleza na maandishi mazito yenye rangi nyekundu panamaanisha nini. Kuwa advocate of the high court of appeal of Tanzania huhitaji kufanya hako kamtihani?

Halafu naomba unieleze ni imekuwakuwaje hadi jina lake huyo bwana Kabudi kutokea kwenye roll of advocates na yeye akiwa roll namba 1169 na tarehe yake ya admission ni 15.12.2009.

Kwa chanzo bofya hapa. Hii roll inaishia 2009 tu.

All in all bar exam ndio ilikua kiboko ya mbwembwe zote na kimtihani cha masaa machache tu ila shughuli yake ni zaidi ya kupanda kilimanjaro uliza waliopita watakuambia

Ukiboko wake ni nini?
 
Wabunge wangapi wa chadema wana CV hiyo?
 
Bila ushahidi kwamba kweli alifeli itabaki kuwa ni maneno yako tu hadi hapo utakapotoa ushahidi kwamba kweli alifeli hicho kimtihani.

Unamzungumzia Palamagamba Kabudi? Yule genius wa sheria aliyepata festi klasi (ya sheria) ambayo huwa tunaambiwa na Pasco humu kuwa ndo ngumu kupatikana katika kozi/fani zote zinazofundishwa hapo UDSM....yaani unasema kwamba huyo bwana licha ya kupata festi klasi hapo UDSM baadaye alikuja akakacha kufanya hicho kimtihani cha uwakili kwa sababu ni kigumu sana?

Yaani huyo genius akaogope hako kamtihani? Hiyo habari wewe umeitoa wapi? Manake huyo bwana ni mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba na kwenye tovuti ya hiyo tume kuna kiji-profile cha wajumbe kinachoelezea elimu pamoja na tajiriba zao na ya huyo bwana Kabudi inasomeka hivi:

Sasa bwana Mbeky naomba unieleze hapo nilipopakoleza na maandishi mazito yenye rangi nyekundu panamaanisha nini. Kuwa advocate of the high court of appeal of Tanzania huhitaji kufanya hako kamtihani?

Halafu naomba unieleze ni imekuwakuwaje hadi jina lake huyo bwana Kabudi kutokea kwenye roll of advocates na yeye akiwa roll namba 1169 na tarehe yake ya admission ni 15.12.2009.

Kwa chanzo bofya hapa. Hii roll inaishia 2009 tu.

Ukiboko wake ni nini?

you are not in the legal fraternity, this indicates from your arguments, uliza usomeshwe
 
you are not in the legal fraternity, this indicates from your arguments, uliza usomeshwe

Did I say I was?

Na kwa vile umesema niulize nisomeshwe (mi nilidhani niulize ili nieleweshwe, but it's ok) je, Prof. Kabudi siyo wakili kama ambavyo bwana Mbeky amedai?
 
Hiyo article katika American university law journal citation haiko sahihi coz 1993 hakua judge kwa mujibu wa CV yake sasa haiwezekani kukawa na article ilioandikwa na Judge F. Werema in 1993
 
Wewe kinachokusumbua ni much know. Unajiona mjuaji sana, mjuzi sana hata kukosoa elimu za watu. Kama wewe ni msomi lakini unashindwa kutofautisha elimu na uongozi basi usomi wako hauna maana. Mabandiko yako mengi ni ya kujiona your the best! Je elimu yako wewe imewasaidia nini watanzania? Uko jf kila siku kwenye keyboard mwenzako angalau alikuwa jaji na sasa ni ag.
Samahani kama nitakuwa nimekuudhi lakini huwa sifurahishwi na attitude yako ya kujiona bora ktk elimu kuliko wengine. Kabla ya kuwashambulia wengine wameifanyia nini tanzania jifikirie wewe unaewashambulia umeifanyia nini tanzania au ulisha wahi ifanyia nini.
mwaka 2011 nilishawahi kusema huyu mtu uwezo wake ni mdogo sana na nikasema kuna haja ya kupitia kwa kina hukumu alizotoa akiwa jaji.ni lazima atakua alitoa hukumu kandamizi au zenye upendeleo

tukileta cv yake ili ikamilike nadhani na nukuu zake alizowahi kutoa ziwekwe ili kuitendea haki cv hii nzito iliyosheheni usomi na experience!
 
Werema ni tutusa kweli kweli, hata zungumza yake huwezi jua kama emesoma kabisa!:frusty:
 
Unamzungumzia Palamagamba Kabudi? Yule genius wa sheria aliyepata festi klasi (ya sheria) ambayo huwa tunaambiwa na Pasco humu kuwa ndo ngumu kupatikana katika kozi/fani zote zinazofundishwa hapo UDSM....
Mkuu NN, just to put record clear
Its very true kupata 1st class ya ya sheria kwa UDSM ni ngumu kuliko kupata 1st class katika fani nyingine zote!, Kitivo cha sheria kilianzishwa mwaka 1961 kikiwa na wanafunzi 14 tuu, mpaka leo mwaka 2013, kimetoa 1st class 14 tuu! ya mwisho ikiwa ilitolewa 1992!.

Nilisema mimi binafsi nimepita hapo UDSM kwenye hiyo sheria, sikuona kitu chochote cha kuifanya iwe ngumu kihivyo kupatikana, hivyo nikasema ni walimu wa UDSM wanawabania tuu watu kupata 1st class ili kuifanya LL.B ionekana ni kozi ngumu, wakati Mzumbe, Tumaini, na Open wanazitoa 1st class za sheria za kumwaga!.

Nikirudi kwa Kabudi, ni kweli mpaka kesho, ni yeye pekee aliyeweka record ya GPA kubwa kabisa ya 4.8 ambayo haijawahi kuvunjwa mpaka kesho!.

Pia nikasema kupata 1st class sio uthibitisho wa kuwa mwanasheria mzuri, nikatolea mfano wanasheria wenye first Class hawajawahi kushinda kesi yoyote ya maana!. Huku wanasheria nguli wanaotisha kama Fimbo, Shivji, Kanywani etc, hawakuwahi kupata 1st Class!.

Paskali
 
Wewe kinachokusumbua ni much know. Unajiona mjuaji sana, mjuzi sana hata kukosoa elimu za watu. Kama wewe ni msomi lakini unashindwa kutofautisha elimu na uongozi basi usomi wako hauna maana. Mabandiko yako mengi ni ya kujiona your the best! Je elimu yako wewe imewasaidia nini watanzania? Uko jf kila siku kwenye keyboard mwenzako angalau alikuwa jaji na sasa ni ag.
Samahani kama nitakuwa nimekuudhi lakini huwa sifurahishwi na attitude yako ya kujiona bora ktk elimu kuliko wengine. Kabla ya kuwashambulia wengine wameifanyia nini tanzania jifikirie wewe unaewashambulia umeifanyia nini tanzania au ulisha wahi ifanyia nini.

Inferiority Complex.....Pole!
 
Back
Top Bottom