Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,155
- 137,168
ni jaji na pia ni mwanasheria mkuu wa serikali ila jana matumizi ya neno "shall" na "may" kwa mujibu wa sheria za nchi yamempga chini.
Hizo modal verbs husumbua (wanasheria) wengi na si yeye tu. Tushawahi kuwa na kamjadala kule kwenye jukwaa la sheria kuhusu hizo verbs hususan kwenye sheria za kazi.