CV ya Mwanasheria mkuu wa Serikali Jaji Stephen Werema

CV ya Mwanasheria mkuu wa Serikali Jaji Stephen Werema

Unamzungumzia Palamagamba Kabudi? Yule genius wa sheria aliyepata festi klasi (ya sheria) ambayo huwa tunaambiwa na Pasco humu kuwa ndo ngumu kupatikana katika kozi/fani zote zinazofundishwa hapo UDSM....
Mkuu NN, just to put record clear
Its very true kupata 1st class ya ya sheria kwa UDSM ni ngumu kuliko kupata 1st class katika fani nyingine zote!, Kitivo cha sheria kilianzishwa mwaka 1961 kikiwa na wanafunzi 14 tuu, mpaka leo mwaka 2013, kimetoa 1st class 14 tuu! ya mwisho ikiwa ilitolewa 1992!.

Nilisema mimi binafsi nimepita hapo UDSM kwenye hiyo sheria, sikuona kitu chochote cha kuifanya iwe ngumu kihivyo kupatikana, hivyo nikasema ni walimu wa UDSM wanawabania tuu watu kupata 1st class ili kuifanya LL.B ionekana ni kozi ngumu, wakati Mzumbe, Tumaini, na Open wanazitoa 1st class za sheria za kumwaga!.

Nikirudi kwa Kabudi, ni kweli mpaka kesho, ni yeye pekee aliyeweka record ya GPA kubwa kabisa ya 4.8 ambayo haijawahi kuvunjwa mpaka kesho!.

Pia nikasema kupata 1st class sio uthibitisho wa kuwa mwanasheria mzuri, nikatolea mfano wanasheria wenye first Class hawajawahi kushinda kesi yoyote ya maana!. Huku wanasheria nguli wanaotisha kama Fimbo, Shivji, Kanywani etc, hawakuwahi kupata 1st Class!.

Paskali
Hii ni rejea tuu ya kumhusu huyu Prof. Palamagamba Kabudi.
Hongera sana kwa uteuzi.

Paskali
 
Back
Top Bottom