Mkuu Jaji Mutungi Ana data zozote zenye chama kiitwacho AG kwenye file lake?
Werema ni tutusa kweli kweli, hata zungumza yake huwezi jua kama emesoma kabisa!:frusty:
Tatizo la lugha ni kwamba alikulia kwa mama ambaye ni mjaruo na mjaruo na kiswahili ni mbingu na ardhi
Mwaka 2011 nilishawahi kusema huyu mtu uwezo wake ni mdogo sana na nikasema kuna haja ya kupitia kwa kina hukumu alizotoa akiwa jaji.Ni lazima atakua alitoa hukumu kandamizi au zenye upendeleo
Tukileta CV yake ili ikamilike nadhani na nukuu zake alizowahi kutoa ziwekwe ili kuitendea haki CV hii nzito iliyosheheni usomi na experience!
Mkuu Ben
Huyu mtu mimi nakumbuka kesi mbili (sikumbuki wahusika) alizotoa hukumu ya kifo zilitenguliwa baada ya rufaa. Alipaswa kuwa DRC anawafukuza M23 sio AG an bungeni.
Leta ya Mbowe tuione...
Sidhani kama Werema aliwahi ku-practise Ujaji [I stand to be corrected] , na kwa hiyo huwezi kupata hukumu alizowahi kutoa.
Bila ushahidi kwamba kweli alifeli itabaki kuwa ni maneno yako tu hadi hapo utakapotoa ushahidi kwamba kweli alifeli hicho kimtihani.
Unamzungumzia Palamagamba Kabudi? Yule genius wa sheria aliyepata festi klasi (ya sheria) ambayo huwa tunaambiwa na Pasco humu kuwa ndo ngumu kupatikana katika kozi/fani zote zinazofundishwa hapo UDSM....yaani unasema kwamba huyo bwana licha ya kupata festi klasi hapo UDSM baadaye alikuja akakacha kufanya hicho kimtihani cha uwakili kwa sababu ni kigumu sana?
Yaani huyo genius akaogope hako kamtihani? Hiyo habari wewe umeitoa wapi? Manake huyo bwana ni mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba na kwenye tovuti ya hiyo tume kuna kiji-profile cha wajumbe kinachoelezea elimu pamoja na tajiriba zao na ya huyo bwana Kabudi inasomeka hivi:
Sasa bwana Mbeky naomba unieleze hapo nilipopakoleza na maandishi mazito yenye rangi nyekundu panamaanisha nini. Kuwa advocate of the high court of appeal of Tanzania huhitaji kufanya hako kamtihani?
Halafu naomba unieleze ni imekuwakuwaje hadi jina lake huyo bwana Kabudi kutokea kwenye roll of advocates na yeye akiwa roll namba 1169 na tarehe yake ya admission ni 15.12.2009.
Kwa chanzo bofya hapa. Hii roll inaishia 2009 tu.
Ukiboko wake ni nini?
Kwanza elewa ni rahisi sana kuwa mwanasheria lakini ni mgumu sana kuwa wakili (chukua hii ka hukua unajua) muulize wakili yeyote ndio maana kuna wanasheria wengi ila mawakili wachache.
Kipindi cha bar exam kulikua na ukilitimba sana na kubaniana au kukomoana kwa wasomi wa sheria kuna kundi walijiona wao ni academicians na kuna walijiona mawakili maarufu.
Kwanza elewa panell hiyo ilikuaje alikua raisi wa Tanganyika Law Society, Dean of faculty of law UD, AG na Judge mkuu if I am not mistaken.
Ukiangalia hiyo panell ndio ntakupa siri ni vipi Kabudi akawa wakili.
Ka ulivyoona moja wa member wa hiyo panell ni Dean of faculty of law UD kama bahati Kabudi alikua Dean sa wakajiuliza pamoja ni dean haitakua fair anawainterview mawakili watalajiwa wakati ye sio wakili ndio akapewa uwakili ili afit kwenye panell (I stand to be corrected)
kama nilivyosema hapo juu swala la kushindwa bar exam kuna factor nyingi achilia mbali maandalizi ya mtu binafsi ni swala la kubaniana na chuki...ndugu hata ukiwa genius mtihani oral mtu akikunjia hutoki sheria ni somo lenye complications sana than wanasheria watakubaliana na mimi.
Kuna senior lecture mmoja UD (jina nalitia kapuni) kunja nikupe kisa chake na bar exam..ye alienda mara ya kwanza akapigwa chini akaamua kusoma masters aliporudi akajaribu tena akashindwa akaenda kusoma tena Phd aliporudi akafanya tena bar exam akashindwa na hapo ujue kwenye panel ni staff wenzake na rafiki zake basi aliporudi mara ya mwisho kabla ajaanza kujibu maswali akawapiga mkwala "jamani I have been coming hapa zaidi ya mara tatu sasa na mara zote nafali bila sababu za msingi na nyie marafiki zangu na wengiwenu nawazidi kiwango cha elimu ndio mnanifelisha...sasa nawaambia hii ndio mara yangu ya mwisho nikifeli tena sitarudi tena na urafiki ufe " waliosoma UD watakua wanaijua hii story...ila this time walimtoa kwahiyo nachojaribu kusema hiyo bar exam haikuwa rahisi kama unavyodhani
MY TAKE
Kama Ridhiwani Kikwete ni wakili (maana yake ni alifaulu hako kamtihani) basi sidhani kama huo mtihani ni mgumu. Labda uje na madai kwamba alibebwa. Lakini kama alipita basi si mgumu. Na jamaa hajui kuandika Kiingereza wala Kiswahili sanifu.
Sa kumbe we hupo hapa kubisha na kukosoa tu na sio kupata kitu kipya any way we baki unaamini unvyoamini.
Um out
Baada ya kumaliza 'A'Level MWAKA 1977, alikuwa wapi mpaka mwaka 1981 alipojiunga chuo kikuu! ?