CV ya mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji)

CV ya mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji)

Status
Not open for further replies.
Ipo iringa na jamaa zangu kibao wamesoma hyo shule

mkuu Pawaga naomba nisaidie kukokotoa iyo hesabu ya miaka aliyosoma primary school huyu mhe,from 1980-87 ni miaka mingapi?au mimi ndio nakosea?
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiiii na nmeisoma bila kuelewa, bwana makelele mengi cv yake mbogu hivi
 
Bora kuwa na mbunge asiyesoma kuliko kuwa na mwenyekiti DJ na magaidi kuongoza Chama
 
Bwana gogo la shamba huyu mh. busara yake iko wap? Kutuka a mitusi kwenye kampeni? Kuongoz sio elim nakubali ila elimu inakusaidia san ktk kuongoza vema
 
yaani nyie ma-ku ma kweli,wewe hata kama una degree or masters yako inakusaidia nini sasa kama huna pesa,acheni us enge wabongo ndio kawaida yenu mmekalia majungu tuu,huyo ni muheshimiwa kama walivyo wabunge wengine akiwemo mbunge wako

Pole sana Lusinde.
 
Mwenyekiti wa ccm taifa ni degree , afu eti rais! Anajua kiswahili ,na kiingereza sio sana af eti rais,bora hat mbowe ana tetea maslahi ya watanzania,haombi ombi kama huyo omba omba wenu.,elimu ni maarifa sio matusi ya akina lusinde,note "bora ucwe na elimu kabisa kuliko kuwa dr., prof.Afu rasilimali za watz zina ibiwa! Riz ni tajir zaid ya mwl.Nyenyere,rieviw!
 
Haijawahi kutokea kokote duniani ni Tanzania tu Ee Mwenyezi Mungu tusaidie

aje kwani ye chizi?Hapo Nape hata amlipe sh ngapi sidhani sidhani kama atatia mguu.
Ila ningependa aje nione comment zake zitakuwa za kilusinde lusinde au Kinapenape
 
utaifakwanza;5982422]Mwenyekiti wa chadema taifa na mbunge wa hai ni form 4.

we acha kujiandikia tu ilimradi, tafuta CV ya mwenyekiti wa chadema uione,
 
Bonge ya kilaza! mitusi yote hiyo kumbe kichwa pumba! shameless person!
 
Hayo yote ni makosa MZEE MALECHELA, hakufanya chochote jimboni watu wakakasirika na kuchagua pumba! huyo jamaa alishindwa cuf na cdm kwani vijana wote aliokuwa anakutana nao wameelimika, yy hamna kitu!
 
Ebu jaribu kuleta hoja za kujenga taifa na co kwa ajili ya itikadi ya chama . Nakushauri pitia katiba utaona sifa ya kuwa Mbunge then ndo ulete hiyo hoja yako.
 
sawa na mwenyekiti wa chadema taifa, kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na mbunge wa hai, ambaye pia ni mmiliki wa bar ya usiku ya bilicanaz ambayo ni kitovu cha ushoga jijini dsm

Afadhali yeye amekuwa creative katika business na sio utapeli wa uganga au kutoa matusi kama ya kina Lusinde. Kama ni ushoga itakuwa ni tabia ya mtu. Mbona hata huko mjengoni tunaambiwa wapo tena wanaongozana na mabwana zao. Je huko napo ni kitovu cha hayo mambo au ni hulka ya mtu?

Wewe kubali kwamba, MAGAMBA mmebugi "AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA", Matokeo yake ndio mmeifikisha Tanganyika hapa iliopo.
 
Bwana matusi kumbe la saba la leo!!!!! Kwa vyovyote hawezi sema la zamani kwani zamani ilikua mwisho la nane sio la saba. kumbe sitamshangaa tena kwa matusi yake hajitambui.
 
Ifike muda sasa kigezo cha elimu kizingatiwe katila uongozi....hata dereva tu anaajiriwa kwa kutumia cheti cha form four + leseni
 
Kuna habari zimezagaa huku mitaani kwamba kibajaji alifanya mtihani wa kidato cha nne ambao matokeo yake yalitangazwa hivi karibuni kalamba 0, mwenye taarifa aje atuthibitishie ukweli wake
 
Hizo ni habari za kwel....ngoja nitayaleta matokeo yake hapa....
 
Ni ukweli mtupu alifanyia centre moja huko Lindi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom