CV ya mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CV ya mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kaa la Moto, Jul 4, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Sina la kusema ninapoona cv kama hizi bungeni!!!

  Member of Parliament CV
  GENERAL

  Salutation Honourable

  Member picture

  First Name: Livingstone

  Middle Name: Joseph

  Last Name: Lusinde

  Member Type: Constituency Member

  Constituent: Mtera

  Political Party: CCM

  Office Location: Box 50, Dodoma

  Office Phone:
  +255 755 453327/+255 785 679927

  Ext.:

  Office Fax:

  Office E-mail: llusinde@parliament.go.tz

  Member Status: Current Member

  Date of Birth: 4 March 1972

  EDUCATION

  School Name/Location

  Course/Degree/Award

  Start Date

  End DateLevel

  Mbigili Primary School Primary Education 1980 1987 PRIMARY

  CCM College Ihemi, Certificate 2007-2008 ,CERTIFICATE

  EMPLOYMENT HISTORY Company Name

  Position From Date To Date

  The Parliament of Tanzania

  Member - Mtera Constituency
  2010-2015

  POLITICAL EXPERIENCE

  Ministry/Political Party/Location Position From To

  Chama Cha Mapinduzi, CCM Secretary - Tarime District 2006-2010

  Chama Cha Mapinduzi, CCM[Assistant Secretary/Accountant 2006-2007

  CHADEMA Member - National Executive Board 1995

  Civic United Front, CUF Secretary - Kawe Constituency 1992-

  1995 Chama Cha Mapinduzi, CCM Secretary

  Source: Parliament of Tanzania
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  kama sijaona vizuri naombeni mnisahihishe... HIVI MUHESHIMIWA NA MBWEMBWE ZOTE ZILE NI DARASA LA SABA LA ZAMANI??
   
 3. b

  bdo JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,711
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  hahahhahahahah, Mungu wangu, ninawaachia kwanza waliyokuwa wanaomba hii CV waione kwanza, ila nadhani itakuwa imechakachuliwa?ngoja mie nikamwombee dr.Uli apone mapema
   
 4. Third Eye

  Third Eye JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 331
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Kapata licence ya kusamehewa kwa yote anayoyafanya, na ye sio yeye jaman
   
 5. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,847
  Likes Received: 2,774
  Trophy Points: 280
  Uuuuuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Kamata Mwiiiiiiiiiiiiiiiiiiizi Meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen!!

  Hivi na kutukana kote huko ni darasa la saba la juzi? Afadhali lingekuwa la zamani yaani 1987? SH*****N Typeeeeee!!

  Kwa mtindo huu tutapata wapi maendeleo? Watunga sera ndo hawa wa design ya Lusi? Uuuuuuuuuuuuuuuwhiiiiiiii!!
   
 6. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Siamini macho yangu!...
   
 7. Dangire

  Dangire JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Eeh! Inatisha.......kumbe matusi yote haya ni kwa sababu ni darasa la 7!!!!!!!!!!!! Sasa ajitahidi aanze form 1, elimu haina mwisho....da!
   
 8. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  assistant sec,,accountant mbona kama ameandika mambo ambayo hayaeleweki??kama watanzania wanaweza kumpigia kura mtu kama huyu basi sisi bado sana hakyamungu
   
 9. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mhhhhhhh!Kuna watu ni darasa la saba lakini wanauelewa mzuri sana wa mambo na busara yao unaweza kuwaomba hata ushauri huyu jamaa yangu kwa kukosa elimu, angalau angekuwa hata na busara lakini hata hilo hana.Amebaki kutumiwa kama robot kazi yake kuropoka bila kushughulisha ubongo.Kazi kweli kweli.
   
 10. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  hiyo shule ya msingi mbigili (aina ya miiba midogodogo ambayo husababisha sana pancha za baiskeli)aliyosoma ipo kijiji gani huku dodoma? maana mimi ni mkazi wa jimbo la mtera na sijawahi kuisikia hiyo shule . ipo wapi hiyo jamani kwa yeyote anyejua ! maana mvumi alipokulia haipo, loje haipo, ikombolinga haipo, makang'wa haipo! ndebwe haipo ! asije akawa kachakachuwa?
   
 11. L

  Lekausia Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh na chuo cha yale matusi mbona sioni dtl zake?
   
 12. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ila amesoma primary kwa miaka mingi, toka 1980 mpaka 1987 ni miaka nane (8). Au inawezekana kuna mwaka alirudia ili kuongeza maarifa zaidi.
   
 13. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  daaah kumbe ni puto tu!!! ameshindwa hata na wale mbwa wa pale SUA wanaotumika kwaajili ya kutegua mabomu wana elimu kubwa kuliko yeye Lusinde.
   
 14. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mimi naamini CV yake imechakachuliwa CV kama izi nizawaganga wa KIENYEJI na si kwa mh.mbunge wa mtera kwa tiketi ya CCM,tafadhali mwenye CV yakweli atuwekee.NDOVU BARIDIIIIIIIIIIIIIIII !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  unaambiwa usimjaji mtu siku moja lakini mh.lusinde haitaji siku nyingi kwa matusi aliyotoa arumeru alafu serikali imekaa kimya hii inaonyesha udhaifu wa mr.sharobaro a.k.a mwenyekiti wa misiba duniani
   
 16. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kudadadadadeeeki..!!
   
 17. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Wee Luci! Lete ndovu mbili za moto tafadhali. Faster! Hii elimu anazidiwa hata na bar maids!!?
   
 18. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,136
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180
  Mtera wana kazi.
   
 19. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Kudadadadeki, we mkali...!
   
 20. Sorrow to Joy

  Sorrow to Joy JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nchi inayumba na kukosa muelekeo coz wanaosimamia wataalamu ni zero brain. Madiwani wengi na wabun=ge ni std 3-7 ambao hawana hata uwezo wa kumhoji phd holder na ndo waliokabidhiwa dhamana ya kukubali na kuelekeza maendeleo ya tz. Apatikane mtu asiyejali mitandao aokoe taifa. Kuku wa std 3 anapanga hatima ya degree holder. Pumbavu zakeeeeeeeeeee
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...