MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,122
Aisee ana CV Kali sana, huyu hawezi kutumbuliwa kwa sababu ni mbunge kutoka dodoma
wewewewee baada ya hako ka basic certificate ya ccm college hajabahatika hata kuongezea zile za hapa na pale!!! dah amakweli........Livingstone Lusinde
Written By Blog Admin on Monday, March 30, 2015 | 12:15 AM
Full Name: Livingstone Joseph Lusinde
- PARTICULALS
Member Type: Elected Member
Constituent: Mtera
Political Party: Chama Cha Mapinduzi - CCM
Office Location: Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927
Office E-mail: llusinde@parliament.go.tz
Member Status: Active
Date of Birth: 4 March 1972
- EDUCATION
Mbigili Primary School:
Primary Education (1980 - 1987)
CCM College Ihemi:
Certificate (2007 - 2008)
The Parliament of Tanzania:
- EMPLOYMENT HISTORY
Member - Mtera Constituency (2010 - 2015)
Member-Mtera Constituency (2015-Present)
nenda blog ya bungeHuu ni ukweli au utani
labda mda badowewewewee baada ya hako ka basic certificate ya ccm college hajabahatika hata kuongezea zile za hapa na pale!!! dah amakweli........
mmh inabidi iache tuSasa hapo serikali itahakiki nini?
Itahakiki kadi ya ccmSasa hapo serikali itahakiki nini?
heeItahakiki kadi ya ccm
Unajua maana ya Blog? Usijekua unachanga na websitenenda blog ya bunge
Kwa nini atumbuliwe? Kama mbunge, kinachohitajika ni kujua kusoma na kuandika tuAisee ana CV Kali sana, huyu hawezi kutumbuliwa kwa sababu ni mbunge kutoka dodoma
cvzawabunge.blogspot.comUnajua maana ya Blog? Usijekua unachanga na website
Lizaboni ndo mkuu wa chuo Cc lizabonicc @Wakudadavua MOTOCHINI kumbe ccm kuna koleji?
Bunge halina Blog imetengenezwa na Scums ila information ni za kweli Nakupa website ya Bunge click jina la mbunge