ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,707
Ni ukweli mtupu alifanyia centre moja huko Lindi
Ni ukweli mtupu alifanyia centre moja huko Lindi
Aaaaaaah,mkuu hiyo ma ccm waliikataa ilikuwepo kwenye rasimu ya Warioba, ccm ndio shetani wetu.Ndo maana kenya wameamua kuanzia uchaguzi ujao huna degree hupati ubunge sasa sijui hapa kwetu ni aje
in darasa LA saba failure huyoNaomba kufahamu CV za mbunge wa Mtera.
DART walitangaza kazi za usafi na kusema waombaji wawe na elimu ya form four, lakini wabunge watunga sheria sifa ujue kusoma na kuandika. Hii ni Tanzania.Hii nchi sijui inalaana gani?Yaani watu wanachagua "Vilaza" wawaongoze.Kweli aliyetuloga kafa na hakuna wa kutuagua.
cv ya lusinde unaitakia nini. yeye hana degree feki. siku zote amekubali elimu yake ndogo na he has a humble background. sifa yake ni mtetezi na mpiganaji wa maendeleo ya jimbo lake na taifa kwa ujumla.Naomba kufahamu CV za mbunge wa Mtera.
Anajitambua Kuliko Lipumba!taja zuri lake moja kwanza tutakutajia kwa nini anajiita kibajaji
