CV ya mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji)

CV ya mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji)

Status
Not open for further replies.
Aina ya kiongozi wa eneo mara nyingi huakisi aina ya wananchi wa eneo husika.Mifano ipo mingi.
 
Ndo maana hata akichangia hoja ni figisufigisu anaongea hadi watu wanabaki midomo wazi! halafu ETI dereva lazima awe amemaliza FORM FOUR!
 
Huyo mbunge angekuwa kimya mjengoni haya yote yasingejulikana.

Kweli ukimya ni HEKIMA.....
 
"Sifa za kuwa mbunge ujue kusoma na kuandika"

" Sifa za dereva wa mbunge uwe walau na elimu ya kidato cha nne"
 
Usikute ata darasa la saba hakumaliza kama yule mwingine mchumi namba moja wa kununua majina.
 
Kwa nini atumbuliwe? Kama mbunge, kinachohitajika ni kujua kusoma na kuandika tu
Sheria ambayo ni kazi yake atazitungaje kama hawezi kusoma na kujieleza kwa kiingereza, au siku hizi bunge halitungi sheria? Angalau hata isimu ya mpaka F. 4 ya kuweza kupamanua kiswahili fasaha?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom