Ila amesoma primary kwa miaka mingi, toka 1980 mpaka 1987 ni miaka nane (8). Au inawezekana kuna mwaka alirudia ili kuongeza maarifa zaidi.
Kudadadadeki, we mkali...!
Eeh! Inatisha.......kumbe matusi yote haya ni kwa sababu ni darasa la 7!!!!!!!!!!!! Sasa ajitahidi aanze form 1, elimu haina mwisho....da!