Tunataka matendo sio elimu ya makaratasi ambayo necta wanavujisha mitihani alafu inaonekana mtu kafaulu sana wkt anafeli kufanya kazi
leo hii yamekuwa hayo, elimu inaonekana sio issue coz mhusika ni ......!!!!, ah! Wasomi hao. Jamani hao ndio watu kila mara wanatamba huku na huko kuwa "sisi tumesoma", kumbe elimu yenyewe ndio hiiiiiiii??? Lakini sishangai hata mwenyekiti wetu wa chama (chadema) ni dj wa madisco hapa nchi thus why hata wanachama na wabunge wa chama hicho ni wanamuziki.
Amesoma O-level miaka miwili (2), na amewahi fanya kazi kama 'celebrity'!
kwani mwisho wa darasa ni wapi?
wengine wananiuliza maswali ya kipuuzi kama bado navuta bangi!!!!
watu wengine bana! kudandia hata roli la takataka hawaoni tabu!
1998-2010 Security. Kati ya miaka hiyo sidhani kama alikuwa bado anafanya kazi BP, maana alikuwa akiishi uk miaka ya 2001-2004 na pia aliishi marekani hivyo CV yake inaficha ukweli fulani."Waweruu" (ndio inavyoitikiwa baada ya kuuliza hapo kwenye red) huyo jamaa alikuwa naye UK kipindi hicho anafanya kazi na "Social Misfit ya Waweru"
Mzazi ulikuwepo Diamond wakati inazinduliwa hii kitu "Mziki na Maisha"??
nimefuatilia sana michango ya sugu akiwa bungeni na katika jamii kwa ujumla nimeona kuwa michango mingi ya mbilinyi huwa siyo ya kiwered sana bali huwa ni michango iliyokaa kimzaha na kuchekesha,niliwaza sana lakini nikabaini kuwa kunatatizo la elmu alilonalo ikumbukwe kuwa sugu alifukuzwa mbeya sec kwa utovu wa nidhamu na historia haioneshi kama alisoma shule yoyote hapa nchini.

kwahiyo tukusaidie nini baada ya maelezo yako hayo?
Mkuu SUGU mbona kawaida yake wewe ndo umajua leo? Ni kundi lile linalojipatia umaarufu kwa kumpigia magoti mwenyekiti wao MBOWE.
sasa utata uko wapi hapo? Wewe ambaye elimu yako haina utata una faida gani kwa taifa?