mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,177
nikitaka na mie kua celebrity nifanyeje...kwani ni lazima niimbe?
CV Dhaifu sana hii kwa mtu kuongoza jiji la Mbeya. Hapa tusitegemee maendeleo yoyote.
Tafadhali nifafanulieni hiyo Self Employed = Celebrity ndo kazi gani? Kwa English yangu ya Form II nakumbuka Celebrity ni MTU MASHUHURI/ MAARUFU.

Amesoma O-level miaka miwili (2), na amewahi fanya kazi kama 'celebrity'!
Amesoma O-level miaka miwili (2), na amewahi fanya kazi kama 'celebrity'!
Kwahiyo hakuna haja ya kwenda shuleeeeee mmh. I see
Your very very right!! Kwani sifa kubwa ya kiongozi lazima afanane na wapiga kura wake!!! hasa ukizingatia mh Sugu (Kama walivyo wabunge wengine) kwa mbeya yeye ndiye 1st citizen wengine wote wanafuata nyuma yake, na kwa msingi huo yeye ndiye mwenye nafuu hakukuwa na mbadala wake
Amesoma O-level miaka miwili (2), na amewahi fanya kazi kama 'celebrity'!
Mkuu upo sàhihi kabisa wa TZ wengine wanakurupuka,iko hiviO level muhula wa kwanza uanzia January na wa pili uishia November
Form 1 - 1988
Form 2 - 1989
Form 3 - 1990
Form 4 - 1991
Sasa hiyo miaka miwili unayoiongelea sijui ni ipi!?
93 Niko Boarder naitafuta South africa leo hii najichanganya tu america ndivyo maisha yanachange leo ndani ya terrano kesho vx au range,nafika mpaka barmaco sio tu san fransisco huko kote nafika ktk kutafuta mshiko wanga huko na kule nawapa dole la kati ni nani?? Suguuuuu na nani? Ni weweeeeee tuuuu talanlanlalalaaaaaaa ni moto chini.
Usiwe mtumwa wa fikra...kilan kitu USA! kwa nini Obama? kuna maris kibao kila kitu ni ulaya na marekani Why??Wewe uliishia la ngapi? Naona Baraka Obama naye ni Form four Failure...