chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 900
Anaweza kusoma na kuandika no problem hata urais anaweza kugombea kwa sasa
Amesoma O-level miaka miwili (2), na amewahi fanya kazi kama 'celebrity'!
Wanaotetea vilaza kuwa bungeni hawana tofauti na wasaliti wa taifa letu,ikumbukwe tumewachagua wabunge wetu wawe wawakilishi bora katika kutetea maslahi ya watanzania na nchi yetu,kupitisha sheria kuikosoa serikali.Sasa kama kiongozi hana elimu ya ujuzi wa masuala husika tunajenga taifa la aina gani? Bunge sio kupiga meza kunga mkono,kuzomea na kuropoka maneno ya hovyo hovyo nilitegemea kama great thinker kuwashauri viongozi aina Sugu kujiendeleza kielimu kwa faida yao na wanaowaongoza.SHULE NI MUHIMU...
ndio maana akaitwa suguTunataka matendo sio elimu ya makaratasi ambayo necta wanavujisha mitihani alafu inaonekana mtu kafaulu sana wkt anafeli kufanya kazi
Ndio maana pro CDM wanatetea upuuzi huu ,tegemeo lao(msomi) ni Dr Slaa tu,Mbowe ndio wale wale wenye elimu ya ngedere ya kudandia miti.mkuu huyu na mbunge wa moro mbona anazdiwa sana tu, 85% ya wabunge wa chadema hawana shule.
Amesoma O-level miaka miwili (2), na amewahi fanya kazi kama 'celebrity'!
mkuu huyu na mbunge wa moro mbona anazdiwa sana tu, 85% ya wabunge wa chadema hawana shule.
Ndio maana pro CDM wanatetea upuuzi huu ,tegemeo lao(msomi) ni Dr Slaa tu,Mbowe ndio wale wale wenye elimu ya ngedere ya kudandia miti.
Pamoja na kukupa "like" naomba masharti na vigezo kuzingatiwa. Unaifahamu katiba ya CCM vizuri? Unaifahamu katiba ya Chadema vizuri?Unazifahamu sifa za mtu kuwa mbunge kulingana na katiba za vyama vyao?Bungeni huwa kuna mijadala mingapi muhimu na ya msingi ambayo huwasilishwa? Uzi huu naamini mods watauheshimu kama ukinijibu maswali yangu yote hapo, na kama hutajibu basi humu jamvini kuna watu watatusaidia ku-attach katiba zote mbili ili kuwe na uwiano wa mjadala.
kwangu mie sioni tatizo katika elimu yake kama ana uwezo wa kujenga na kutetea hoja. ni wasomi wangapi wapo hapa tanzania lakini hata kutoa hoja achilia mbali kuisimamia wanashindwa?? big up Sugu umewaonyesha vijana waliokata tamaa na elimu yao ya form four kuwa inawezekana kama kweli wakiweka nia katika vile wanavyoviamini na kuvifanya kwa usahihi.
watanzania kwa kupenda Education qualifications... dunia ilishatoka huko 1800 back nyie ndio mnaona hiyo ndio CV... shame on you!
Ni kweli dada Wingu kwa Elimu ya kuvaa matineti na pedo bila kusahau gobazi na kula pilau za misiba hakupatiMkuu hata robo ya elimu yangu hauingi.Na madrasa nimepiga vile vile.
Nakuunga mkono Mkuu, Enzi za Mwalimu wasomi walikuwa si wengi hivyo katiba ikapendekeza kuwa unaweza kuwa mbunge kwa elimu hiyo ndogo tu. Sasa hivi nchi imekuwa na wasomi wengi, hivyo ni wakati muafaka kwa sheria hiyo kubadilika. Wabunge wana kazi kubwa sana kwenye maendeleo ya nchi yetu hivyo inabidi wawe na elimu ambayo wanaweza kuchambua kwa umakini na kina siyo kwa kukurupuka tu.Mi nafikiri mabadiliko yaanzie kwenye katiba za vyama na hata ya nchi kwa ujumla. kama katiba inasema kuwa mtu yeyote mwenye umri wa miaka kuanzia kumi na nane na kuendelea ili mradi awe anajua kusoma na kuandika anaweza kuwa mbunge utamlaumu vipi mbunge aliyeishia darasa la saba au kidato cha nne? hata hivyo kuwa na elimu kubwa haimfanyi mbunge kuwa active ila inasaidia kuongeza wigo wa kufikiri na kuchanganua mambo so kama kwa ushauri si mbaya kumshauri mbunge wetu akaongeze elimu ila cyo kumtuhumu yy kama yeye as we are not in a position to judge them
Dada Anna inaelekea kuna mtu kakuweka ndani akakununulia suti ndio maana unaitukuzaHivi unataka aje akununulie suti na familia yako ndio ujue kafanya nini? Acha hizo.