Kama hunanjibu hukuwa na sababu ya ku-react. Waachie wanaojua wajibu. Maswali mangapi yanajibiwa hapa. Una maana UDSM wana majibu ya graduates wote wa Tanzania? Acha kujifanya zuzu.kaulize udsm labda watakupa ufafanuzi wa darasa alilosomea
Wakumbuke Mungu hadhihakiwi. Yuko wapi mama yao? Kila kitu kina mwisho. Kama ninkweli hiyo damu itawasumbua milele.huyu boya na mdogo wake anaitwa godi kombani kipindi akiwa cbe dom waliwahi kumuua rafiki yao kwa kumfungia kwenye boot hadi akakosa pumzi wakiwa wanatoka club, cheo cha mama yao kikawalinda!
Unajua sababu ya kuuliza CV yake? Hao unaotaka CV zao ulishawasikia wakiongea ujinga bungeni? Huyu bwana aliwahi kusema ile picha ya Askari iondolewe iwekwe ya Diamond. Aliwahi kusema Watanzania walioko China ni wengi kuliko Wachina walioko hapa. Jana umesikia upuzi aliokuwa anaongea halafu ana-sign na kuchukua posho. Unacceptable.Tunataka pia ya Mbowe, Sugu na Profesa J hapa
Wananchi wake upupu tuu mkuu...kuna mmoja anafurahi akaina hizo clip za kijinga whatsappWadau naomba kuuliza kuna mwenye kuijua CV ya mbunge wa Ulanga Mhe Goodluck Mlinga anijuze.
==========
View attachment 359014
Dogo kila akiibuka anaibuka na upupu sijui wananchi waliomchagua walikuwa na ufahamu juu ya mbunge wao ??????.
Wadau naomba kuuliza kuna mwenye kuijua CV ya mbunge wa Ulanga Mhe Goodluck Mlinga anijuze.
==========
View attachment 359014
Bado hujaelewa tu ebu angalia hiyo CV then utupe basis za kusoma Bachelor ndio utaelewa unayemjibu alikuwa ana maanisha nini.Mimi na wewe nani ndio hilo neno uliloliandika? Wewe ndio hivyo sababu haujui umekalia lazima baada ya degree ni masters sijui phd sijui nini...khaaa watu wanasoma kwa kupangilia maisha yao, hata kozi za certs wanasoma wanaongeza ujuzi ndani ya mawiki au miezi...na nini wanataka wafanye maishani sio wewe mfata mkumbo cheti utafikiri ndio mwisho wa maisha....khaaaa duh!!!!
Mwaka gani mkuu?huyu boya na mdogo wake anaitwa godi kombani kipindi akiwa cbe dom waliwahi kumuua rafiki yao kwa kumfungia kwenye boot hadi akakosa pumzi wakiwa wanatoka club, cheo cha mama yao kikawalinda!
Umenichekesha sana mkuu, ila naona yule wa Kalenga ameamua kufunga mdomo na kuwakilisha wananchi wa jimbo lake kwa kupiga makofi, kusema ndiyo na kurudi mbezi beach kuendelea na maisha yake.Wabunge wa RAMBI RAMBI ni Tatizo
Kule wazazi wanapodhani ukijua kiinglish unakuwa jiniaz?English-medium schools zimetudumaza mkuu.Tuvumiliane tu
Kwani wewe utaishi mileleWakumbuke Mungu hadhihakiwi. Yuko wapi mama yao? Kila kitu kina mwisho. Kama ninkweli hiyo damu itawasumbua milele.
Bado hujaelewa tu ebu angalia hiyo CV then utupe basis za kusoma Bachelor ndio utaelewa unayemjibu alikuwa ana maanisha nini.
Nyie Chadema mpo double standard kweli, Yaani CV za watu wa Ccm unazitaka kweli lakini ukiomba CV ya Meya wa Isaac Mwita utasikia uongozi hauhitaji shule daah
Sasa Kama mtu anafanya madudu kwa nini cv yake isiombwe? Kama meya anafanya mazuri cv yake ya ninja.Nyie Chadema mpo double standard kweli, Yaani CV za watu wa Ccm unazitaka kweli lakini ukiomba CV ya Meya wa Isaac Mwita utasikia uongozi hauhitaji shule daah
Tupatie za msemaji wa lumumbaTunataka na ya Dj
Umesahau na ya maji marefuNa hiyo cv iambatanishwe na ya meya wa jiji la dar tafadhari!!!!!!