CV ya Goodluck Mlinga, mbunge wa Ulanga Morogoro

CV ya Goodluck Mlinga, mbunge wa Ulanga Morogoro

Ukimpa muda ukamsikiliza Mh.Goodlack Mlinga mbunge kutoka mkoa wa Morogoro,utajikuta unacheka.Hautacheka kwa sababu kakufurahisha kwa hoja zake bali uwezo unaotia shaka katika kujenga hoja.Leo,alivyomaliza kwanza haoneshi kujiamini ni kama amekurupushwa,ametangulia kukaa hata kabla hajamalizia alichokuwa anaongea,naibu spika akacheka,naibu waziri bwana Jaffo akajibu na kuongeza masihara kibao nadhani ili kumuulia soo,mbunge mwenzake.waliomchagua kweli walifanya kazi kubwa.
 
Unaechekesha nini wewe mtoa mada maana hujui kuandika vizuri na haujui Goodluck Mlingwa ni mbunge wa wapi.
 
Unaechekesha nini wewe mtoa mada maana hujui kuandika vizuri na haujui Goodluck Mlingwa ni mbunge wa wapi.
Wewe ndo hujielewi asee,anaitwa Mlinga wewe unamuita Mlingwa.Siyo lazima uchangie kama huna cha kuandika unapiga kimya.
 
Unaechekesha nini wewe mtoa mada maana hujui kuandika vizuri na haujui Goodluck Mlingwa ni mbunge wa wapi.
Kwahio alipaswa kuhojiwa na polisi kwanza
1473403570281.jpg
 
Lazima akili za mbunge zifanane na wale anawao wawakilisha... Si unajua tena uwezo wa watu wa bushi kufikiria unakuwa impaired na mazingira duni wanamoishi? Ukimchukua mtu mwenye akili kubwa (Kama Le Mutuz 😀😀😀) akawe muwakilishi wao, hawatoendana sawa kwa vile wanatofautiana level of thinking...
 
Sitasahau nilipobaguliwa na kukosa nafasi ya kujiunga na chuo cha mzumbe miaka ile kabla ya tcu kuanzishwa nikiwa kijana kutokea familia maskini divisheni wani yangu nzuri tu! halafu watoto wa vigogo na three zao wakipata admission! Inaniuma sana ile elfu 10 yangu niliyoibiwa.

Kwa mtindo huu! full favourtism!
Pole ila umebaka mada
 
Back
Top Bottom