CV ya Goodluck Mlinga, mbunge wa Ulanga Morogoro

CV ya Goodluck Mlinga, mbunge wa Ulanga Morogoro

Kwani vibaya mtu kusoma Degree na baadae kusomea diploma ya masomo yoyote mengine...au?
 
Kwa aibu ya huyu jamaa sijui mama gilo anajisikiaje
 
Ficha ujinga wako wewe,kusoma degree usifananishe na kununua gazeti la UHURU na kusoma.

Mimi na wewe nani ndio hilo neno uliloliandika? Wewe ndio hivyo sababu haujui umekalia lazima baada ya degree ni masters sijui phd sijui nini...khaaa watu wanasoma kwa kupangilia maisha yao, hata kozi za certs wanasoma wanaongeza ujuzi ndani ya mawiki au miezi...na nini wanataka wafanye maishani sio wewe mfata mkumbo cheti utafikiri ndio mwisho wa maisha....khaaaa duh!!!!
 
Umepigwa mswaki kweli wewe?
 
Dogo.kaniudhi kweli.leo...hadi naililia.nchi yangu....nikamkumbuka.mkapa.juzi alivyoongelea aina ya wabunge vijana tulionao leo
 
Dogo kila akiibuka anaibuka na upupu sijui wananchi waliomchagua walikuwa na ufahamu juu ya mbunge wao ??????.
Tatizo ninaloliona ni kule kuchaguliwa kutokana na huruma ya kufiwa na mama yake na siyo uwezo. Wengi wa wabunge wa hiki chama ni sikitiko kubwa. Changanya na Lusinde, Mkamia na yule aliyemoa mwanaye jina la Tulia. Vituko kila kona. Mwingine ni yule anayesema Biblia yake inamwambia Yesu ni mfalme wa dunia hii. Shame on her.
 
Bayana ni kwamba elimu ya Gudluck Mlinga ni ya certificate (CBE-Dodoma Campus 2008-2009)sio Diploma wala Bachelor degree.Atakaepinga kauli yangu aweke ushahidi wa kukataa maelezo yangu.Gudluck akithibitisha na kuweka cheti cha Bachelor ninahama sayari hii ninahamia Pluto.
Tutaenda wote mkuu ila mimi nitashukia Mars pale.
 
Diploma ya Sheria za usuluhishi migogoro CDTI sinza.
Bussiness Adminstration mzumbe.

Ana elimu kubwa sana huyu ,kubwa kwakweli looh!
 
Back
Top Bottom