Nyie Chadema mpo double standard kweli, Yaani CV za watu wa Ccm unazitaka kweli lakini ukiomba CV ya Meya wa Isaac Mwita utasikia uongozi hauhitaji shule daah
Duu kumbe ndo mana ana kichwa nazi!!!Mara ya mwisho ali disco CBE dodoma! ...anzia hapo!
huyu kabebwa na cv ya mama yake tu,lakini hakutakiwa kuwepo bungeni alitakiwe awe analima huko.upuuzi huu
china kwa matokeo haya halafu upate ubunge wanakunyongaaaa hadharani ,kwahiyo huyu angekuwa china angekuwa hayati mhe.Wadau naomba kuuliza kuna mwenye kuijua CV ya mbunge wa Ulanga Mhe Goodluck Mlinga anijuze.
==========
View attachment 359014
Pole sana Tate Shebughe.Sitasahau nilipobaguliwa na kukosa nafasi ya kujiunga na chuo cha mzumbe miaka ile kabla ya tcu kuanzishwa nikiwa kijana kutokea familia maskini divisheni wani yangu nzuri tu! halafu watoto wa vigogo na three zao wakipata admission! Inaniuma sana ile elfu 10 yangu niliyoibiwa.
Kwa mtindo huu! full favourtism!
eeeeeh jamani hadi wakulima mnamkana basi naomba radhi wakulima,labda alikuwa wa UDOMMkuu tunaomba utuombe radhi wakulima, hamna mkulima mwenye akili za kitahira namna hiyo, kwa sababu kilimo kinahitaji ujuzi na maarifa mengi, achilia mbali nguvu na kujituma, tunajitahidi wenzetu mpate kula lakini mnakuja na kashfa za namna hii?mnataka kutuambia ni mazao yetu yanayowanawirisha hamuoni mchango wetu?
Umekosea sana kufananisha mkulima na mpungufu wa akili aliye mlevi
Gudluck hajasoma Mzumbe niko tayari kutoa ushahidianatuabisha tuliosoma mzumbe ni upuuzi huu,atafute chuo kingine alichosoma hatumtambui mtu huyu
uwanja ni wako mkuu tuwekee hapa hii ni jf uwazi na ukweli tuGudluck hajasoma Mzumbe niko tayari kutoa ushahidi
Kwa wale waliopo Dodoma waende area D kituo cha Sengia kwa wale taxi Driver watapata wasifu na taarifa zake.Au waende chuo cha biashara Dodoma watapata full maelezo ya huyu jamaa.uwanja ni wako mkuu tuwekee hapa hii ni jf uwazi na ukweli tu
hahahaha mkuu,bora wewe uelezee tu hapa kuliko watu waende huko wataenda wangapi sasa??Kwa wale waliopo Dodoma waende area D kituo cha Sengia kwa wale taxi Driver watapata wasifu na taarifa zake.Au waende chuo cha biashara Dodoma watapata full maelezo ya huyu jamaa.
Bayana ni kwamba elimu ya Gudluck Mlinga ni ya certificate (CBE-Dodoma Campus 2008-2009)sio Diploma wala Bachelor degree.Atakaepinga kauli yangu aweke ushahidi wa kukataa maelezo yangu.Gudluck akithibitisha na kuweka cheti cha Bachelor ninahama sayari hii ninahamia Pluto.hahahaha mkuu,bora wewe uelezee tu hapa kuliko watu waende huko wataenda wangapi sasa??
kwahiyo hata bunge limedanganywa maana ukiingia site ya bunge ndo unaikuta hiyo cvBayana ni kwamba elimu ya Gudluck Mlinga ni ya certificate (CBE-Dodoma Campus 2008-2009)sio Diploma wala Bachelor degree.Atakaepinga kauli yangu aweke ushahidi wa kukataa maelezo yangu.Gudluck akithibitisha na kuweka cheti cha Bachelor ninahama sayari hii ninahamia Pluto.
Bila shakakwahiyo hata bunge limedanganywa maana ukiingia site ya bunge ndo unaikuta hiyo cv
Umesikia wakiongea pumbaTunataka pia ya Mbowe, Sugu na Profesa J hapa