chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,982
kweli mkuu huyu Mbunge japo ni wa CCM nawashangaa wana CCM wanamtetea huku kisa ni chama chake, lakini ni kitu walitakiwa wahoji kuhusu mbunge wa chama chao kuwa hivi na wabadilishe taratibu za kupeana ubunge kwa masilahi ya taifaanatuabisha tuliosoma mzumbe ni upuuzi huu,atafute chuo kingine alichosoma hatumtambui mtu huyu