CV ya Goodluck Mlinga, mbunge wa Ulanga Morogoro

CV ya Goodluck Mlinga, mbunge wa Ulanga Morogoro

Kanuni ya maisha ni kuwa "aliye nacho ataongezewa". Sasa nyie ng'ang'anieni CV lakini mwenzenu ndio ashakuwa mbunge. Dunia ya leo it doesn't matter WHAT YOU KNOW. What matters is WHO YOU KNOW.

Hiyo ni duniani. Does God acknowledges you?
 
Sitasahau nilipobaguliwa na kukosa nafasi ya kujiunga na chuo cha mzumbe miaka ile kabla ya tcu kuanzishwa nikiwa kijana kutokea familia maskini divisheni wani yangu nzuri tu! halafu watoto wa vigogo na three zao wakipata admission! Inaniuma sana ile elfu 10 yangu niliyoibiwa.

Kwa mtindo huu! full favourtism!

Kumbe mwenzetu namba umeanza kuisoma kitambo. Kwa hiyo walikuchukulia *neno katazwa JF*?
 
Ficha ujinga wako wewe,kusoma degree usifananishe na kununua gazeti la UHURU na kusoma.
Ujinga gani? Elimu yake ina ukakasi, ila
Kuna maelfu ya watz wenye degree na madploma kibaao baada ya degree
 
Nyie Chadema mpo double standard kweli, Yaani CV za watu wa Ccm unazitaka kweli lakini ukiomba CV ya Meya wa Isaac Mwita utasikia uongozi hauhitaji shule daah
Nadhani wanaomba CV ili waangalie mtu anayetoa hoja za ajabu bungeni yukoje kielimu, halafu wacompare. Kuvuliwa baragashia na kuomba mwongozo kwenye bunge linalotatikiwa kutoa sera za kuongoza nchi ni ajabu kidogo. Mbunge na aliyamvua baragashia inaonyesha wana mahusiano fulani. Mi siyajui lakini wao wanajua. Huwezi kumvua baragashia mtu usiyemjua na ambaye hamko karibu. Sasa yeye kuomba mwongozo kwa jambo hilo ndiyo nahisi inawafanya wana CDM waombe cv yake walinganishe na hoja zake. Kumbuka pia aliomba iwekwe sanamu ya diamond badala ya ile ya askari. Diamond kaifanyia nini nchi hii? Diamond mimi namwona ni mjasiriamali tu ambaye amefanikiwa sana. Yaani bora angesema tuweke sanamu ya Nyerere ukumbusho wa mpigania uhuru wa nchi hii.
 
Sifa ya kuwa mbunge kwenye upande wa elimu ni ipi.?
 
Mmmh hii cv mbna cjaielewa..yaan mtu kamalza degree anaenda kusoma diploma tena..elimu ya wap hiyo.?
Ndo elimu ya chama twawala hyo,tena wakamwona anafaa kuongoza jimbo kwa kipindi cha miaka 5,sababu ya msingi siijui,au ndo rambi rambi
 
Hoja za Bwn. Mlinga inawezekana kutoeleweka kwakua zilitolewa katika namna flani ya utani, lakini zilikua nzito na zililenga kupata muongozo kama inaruhusiwa kwa mbunge mmoja kumfanya mwenzanke akose sifa za kuwepo ndani ya kikao cha bunge. Ikumbukwe kua kuna taratibu za mavazi katika bunge hivyo mbunge kukosa sifa kutokana na masihara ya mwenzake sio sahihi.

Bungeni sio mahali pa mizaha, na ukawa waache utaratibu kwa kulea makosa kwa kua tu yamefanywa na mwanaukawa mwenzao.
 
itafute google kwani ipo na vile vile kwenye page ya bunge ipo hapo sio hiyo tu ni za wabunge wote
 
Kama endapo Bunge letu litaendelea hivi kwa vioja,vituko na vimbwanga vilivyopitiliza ninawezasema badala ya kujadili masuala ya Msingi na yenye Tija kwa Taifa,HAKIKA BUNGE LETU NA VIONGOZI WETU WATAPOTEZA HESHIMA NA HADHI ZAO KWA JAMII,TAIFA NA KUWA AIBU NA FEDHEHA KIMATAIFA KUWA NA BUNGE LA AJBABU AMBALO HALIJAWAHI TOKEA TOKA KUUMBWA KWA SAYARI YA TATU.

NITOE RAI KAMA MWANANCHI WA KAWAIDA BAADA YA SEKESEKE LA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KUTOKEA NILI AMINI KWA HAKIKA HATUA MADHUBUTU ZITACHUKULIWA KURUDISHA HESHIMA YA BUNGE LAKINI IMEKUWA NI KINYUME NA MATARAJIO NA HASA KWA KUTOKUWAPO KWA WABUNGE PINZANI NDANI YA BUNGE,BUNGE LIMEZIDI KUWA VIHOJA NA HAKUNA CHA MSINGI NA TIJA KWA TAIFA TENA MAANA HAKUNA CHA KUJADILI WALA KUPINGA LIWE JEMA AU BAYA ZAIDI YA VIOJA TU BUNGENI.
NINAOMBA NINYI WATAWALA WA SERIKALI HII KWANZA WABUNGE WOTE WAKAPIMWE AKILI KWA NIA NJEMA MAANA NINA MASHAKA NA SINA IMANI TENA NA BUNGE LETU.
PILI BAADA YA UPIMAJI HUO PAWEPO NA MAFUNZO MAALUM KAMA INDUCTION PROGRAM YA KUWEZA KUTOA HOJA/KUCHANGIA NA NINI CHA KUSEMA HASA CHECNYE TIJA KWA TAIFA NA SIYO MZAHA MAANA MMEPEWA DHAMANA NA WANANCHI YA UWAKILISHI.
 
Nadhani wanaomba CV ili waangalie mtu anayetoa hoja za ajabu bungeni yukoje kielimu, halafu wacompare. Kuvuliwa baragashia na kuomba mwongozo kwenye bunge linalotatikiwa kutoa sera za kuongoza nchi ni ajabu kidogo. Mbunge na aliyamvua baragashia inaonyesha wana mahusiano fulani. Mi siyajui lakini wao wanajua. Huwezi kumvua baragashia mtu usiyemjua na ambaye hamko karibu. Sasa yeye kuomba mwongozo kwa jambo hilo ndiyo nahisi inawafanya wana CDM waombe cv yake walinganishe na hoja zake. Kumbuka pia aliomba iwekwe sanamu ya diamond badala ya ile ya askari. Diamond kaifanyia nini nchi hii? Diamond mimi namwona ni mjasiriamali tu ambaye amefanikiwa sana. Yaani bora angesema tuweke sanamu ya Nyerere ukumbusho wa mpigania uhuru wa nchi hii.

Huyu Mbunge ni kilaza kama yule Kibajaji tu (Lusinde!!) full ujinga na upumbavu zero hekima!!
 
Mkuu tunaomba utuombe radhi wakulima, hamna mkulima mwenye akili za kitahira namna hiyo, kwa sababu kilimo kinahitaji ujuzi na maarifa mengi, achilia mbali nguvu na kujituma, tunajitahidi wenzetu mpate kula lakini mnakuja na kashfa za namna hii?mnataka kutuambia ni mazao yetu yanayowanawirisha hamuoni mchango wetu?

Umekosea sana kufananisha mkulima na mpungufu wa akili aliye mlevi

Mkuu hawa bank taller huwa wanadharau sana wakulima
 
Nyie Chadema mpo double standard kweli, Yaani CV za watu wa Ccm unazitaka kweli lakini ukiomba CV ya Meya wa Isaac Mwita utasikia uongozi hauhitaji shule daah

Mtu akifanya vizuri katika maendeo nyeti "WATU HAWAONI UMUHIMU WA KUHITAJI CV YAKE" ila AKIKOSEA SEHEMU MUHIMU lazia WATU WAOMBE KUJUA CV yake, Kwanini Kwasababu amekosea katika eneo husika. Je Meya amekosea wapi hadi Watu wahitaji CV yake?
 
Kwani Dr. Mashinji alifanya vizuri wapi au alikosea wapi mbona mlituletea CV yake hapa..?
 
Huyu mbunge wa uridhi,Sijui.

Naombeni majina ya wajanja wa mjini na maprofesa wanaotoka Ulanga ambao wanawakilishwa na huyu jamaa.

Majina ya wana ulanga :-

1-Wafanya biashara maarufu

2:-Maprofesa/Daktari

3:-Wanasheria/Majaji

4:-Mapolisi/Kamishna

5:-Makasisi

Alafu watuambie kweli huyo jamaa ndo anaongea wali homtuma ama ?
 
Bayana ni kwamba elimu ya Gudluck Mlinga ni ya certificate (CBE-Dodoma Campus 2008-2009)sio Diploma wala Bachelor degree.Atakaepinga kauli yangu aweke ushahidi wa kukataa maelezo yangu.Gudluck akithibitisha na kuweka cheti cha Bachelor ninahama sayari hii ninahamia Pluto.
Mkuu nimeshawishika na maelezo yako kwa kuwa inaonekana unawafaham wanasiasa wa Tanzania , naomba utusaidie na wanajamvi CV ya mbowe maana makamanda. Hapa Chaso - Dodoma tunabishana sana

Tunataka tutumie CV ya mbowe kusaka wanachama
 
Buku 7 wameamka pande za masaki ,na si mliombewa na Jamaa mpewe u-Dc,ombeeni ma-DC wa saaa washindwe kutoa madawati muwekee ninyi!

Jana Reginald Mengi katoa mil7O kwa majid mwanga kwahiyo majid kapona
 
Kwani Dr. Mashinji alifanya vizuri wapi au alikosea wapi mbona mlituletea CV yake hapa..?

Inaonekana huja nielewa, SIJAKATAA wewe kupata CV ya mtu, nilikuwa na sema "Hulka ya binadamu mtu akifanya vibaya kazini au kwenye majukumu yake watu huvutika kujua CV yake lakini kama Mtu amefanya vizuri katika majukumu yake ya kikazi watu huwa hawafuatilii sana mambo ya CV" because he/she has done what he/she was supposed to do, people do not mind to know the CV of the person. Kuhusu Dr. Mashiji sina maelezo yoyote ila yule alieomba cv au alieleta cv lazima alikuwa na maswali ya kumuhusu Dr. Mashiji.
 
Back
Top Bottom