Tehe tehe tehe tehe teheNyie Chadema mpo double standard kweli, Yaani CV za watu wa Ccm unazitaka kweli lakini ukiomba CV ya Meya wa Isaac Mwita utasikia uongozi hauhitaji shule daah
Na hiyo cv iambatanishwe na ya meya wa jiji la dar tafadhari!!!!!!
Mimi nadhani alianza Saedy kubenea kutukana mama zetuTunaanza na hawa walioonyesha ukilaza wao kwanza
Wadau naomba kuuliza kuna mwenye kuijua CV ya mbunge wa Ulanga Mhe Goodluck Mlinga anijuze
mimi ninayo ya godbless lema wa arusha. vp nikutumie?Wadau naomba kuuliza kuna mwenye kuijua CV ya mbunge wa Ulanga Mhe Goodluck Mlinga anijuze
Damu ya mtu inamwandama ndio maana kama dishi limeyumba.huyu boya na mdogo wake anaitwa godi kombani kipindi akiwa cbe dom waliwahi kumuua rafiki yao kwa kumfungia kwenye boot hadi akakosa pumzi wakiwa wanatoka club, cheo cha mama yao kikawalinda!
Kanuni ya maisha ni kuwa "aliye nacho ataongezewa". Sasa nyie ng'ang'anieni CV lakini mwenzenu ndio ashakuwa mbunge. Dunia ya leo it doesn't matter WHAT YOU KNOW. What matters is WHO YOU KNOW.
Dah, hii nayo kali! Halaf mtu unahangaika kupata CV yake! Ili iweje? Yaani huyu jamaa maisha yake yatakuwa ya shida sana. Malipo ni hapa hapa na tumeshaanza kuona maana maneno inaonesha kuna fuse zimeshaungu/dishi limecheza na network imekata. Mirembe inamngoja.huyu boya na mdogo wake anaitwa godi kombani kipindi akiwa cbe dom waliwahi kumuua rafiki yao kwa kumfungia kwenye boot hadi akakosa pumzi wakiwa wanatoka club, cheo cha mama yao kikawalinda!
English-medium schools zimetudumaza mkuu.Tuvumiliane tuHivi tu.iambiwa kila uki comment jf bila kuweka ka English kidogo unakua hujaonekana msomi au? Elimu,elimu, elimu
Mbona iko empty mkuuIngia hapa acha uvivu.
Parliament of Tanzania
Basi hana CV au bunge halina web master(wanabana bajeti).Teh teh tehMbona iko empty mkuu
Hivi ni degree na diploma za vitu gani..??![]()
Cv hiyo hapo inaonyesha amesoma chuo kikuu mzumbe kuanzia mwaka 2006 hadi 2010 laini kuna utata labda wadau waliosoma Mzumbe mwaka hu watuambie kama walikuwa wanamfahamu