CV ya Goodluck Mlinga, mbunge wa Ulanga Morogoro

Mabula83

Member
May 10, 2016
49
57
Wadau naomba kuuliza kuna mwenye kuijua CV ya mbunge wa Ulanga Mhe Goodluck Mlinga anijuze.

==========

68.jpg
 
Huyu shule zote hata chuo alichopita itakuwa ni kwa hisani ya pesa tu, hakuna akili hata kidogo iliyotumika kumfikisha huko., wala usiwe na haja nayo rejea cv ya "dadake' aliesema anataka kulia bungeni CV iko vile kwa kuwa alitoka ktk familia iliyoshindwa kununua elimu, ila huyu CV yake inaweza kuwa nzuri kwa kuwa wana uwezo wa kununua elimu ila kichwani wana fanana.
 
Huyu Mlinga ndo yule mtoto wa Celina Kombani aliyetukana wabunge "wote" wa viti maalumu akiwemo naibu spika? Je, ndiyo huyu ambaye pia alisema hajui kiswahili isipokuwa kwa kiasi cha kutosha kutoa maneno ya kejeli kwa dada na mama zetu?

Unataka CV ya mtu kama huyu ili iweje? Take it from me, huyu ni wa kupuuzwa kabisa. Unapotaka CV yake lazima iwe ni kwa ajili ya maslahi ya kitaifa. Huyu yeye kwa matamko yake tu inatosha kumkataa!

Unahitaji CV yake ili iweje?
 
Nilisoma kwenye uzi Fulani humu JF kuwa alishiriki kwenye vitendo vya uhalifu hiyo nayo ni CV yake
 
Kifurushi kitaisha mkuu

Born on 27/02/1982 Morogoro
- 1990-1996 Ukwama Pr.School Morogoro.
- 1992-2000 Pugu Sec School
- 2002-2004 Kigurunyembe Sec. School Morogoro
- 2005-2005 Mzumbe University (Public Admnistration) before he acquired Post Graduate Diploma in Law at the Institute of Social Welfare, DSM.
- 2012-2013 Administrative Officer Ministry of Social Welfare Dev, Gender and Children
- 2013-2015 National Health Insurance Fund (NHIF)

*Married with 2 children.
 
Sitasahau nilipobaguliwa na kukosa nafasi ya kujiunga na chuo cha mzumbe miaka ile kabla ya tcu kuanzishwa nikiwa kijana kutokea familia maskini divisheni wani yangu nzuri tu! halafu watoto wa vigogo na three zao wakipata admission! Inaniuma sana ile elfu 10 yangu niliyoibiwa.

Kwa mtindo huu! full favourtism!
 
Back
Top Bottom