CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

Status
Not open for further replies.
kwa hiyo slaa ukiacha elimu ya dini ni mtaalam wa nini?
ni Mwanafalsafa hata akienda chuo chochote atakuwa idara ya phyilosophy kwa sababu ya dharau ulizozaliwa nazo haya huwezi kutambua amekuambia mengi kwenye waraka wake hapo juu, anaweza pia kufundisha sociologia,bila wasiwasi,hata speach writters,na oratory ,vyote ni fani zake
 
Nyerere alikua kilaza ndiyo maana akaweka misingi?Huwezi kujenga taifa kubwa bila kutumia akili kubwa.Marais wengi waliochangia kuijenga America ni smart,walioijenga Roma ni Smart,Pharaoh walikua smart kule Egypty.Mzee we are talking about transformation here!

Tukiachia mbumbu waongoze transformation tutaandaa taifa la ovyo.Adolf Hitler na Mawenge yake lakini bado alikua smart leader aliyeandaa kuiinua tena Germany bada ya kuzama kwenye tope hatari la vita ya kwanza ya Dunia.Mkataba wa Vetsailess ulikua kitanzi kibaya kwa Germany...

Niambie ni taifa gani ambalo limejengwa bila kuwa na Smart people likasimama na kuwa na Misingi imara?

kilaza kwako ni smart kwa mwingine na smart kwako ni kilaza kwa mwingine, Intellectuals believe 'nothing is good or bad but your Feeling make it so!'
 
Heeh,Hilo siwezi kukubishia.Tangu lini mganga wa kienyeji akabishiwa?

On a seriou note,

Kumbe kuzunguka koote ulikua unakuja huku?I had to trap you na umekuja.

Tumetoka kujadili Elimu yake sasa tumeanza kujadili kama atakua Rais ama La?ni lini tutaacha mijadala ya aina hii.Let's grow up.

Pole nime relaxed hapa mzee unajua muda ambao napumzika ndio wakufanya haya ninayofanya sasa... pole mkuu najua nimekamata ajira yako hapo... anyway one simple thing nakupenda ndio maana nakueleza ukweli na pia napenda pia kumwambia mzee wa watu ukweli.
 
Aiseee, kweli hata mimi sikujua kuwa Dr. Slaa ni Msomi wa hali ya juu kiasi hiki kweli masuala ya Uraia na Dini.

Weakness.

It is absolutely very wrong to select polictics as your career...!!! pole sana mzee.
Huyu alie kaa darasani ma kuandika thesis na huyu wa kutunukiwa ni yupi anafaa kuwa rais?? Kuwa wazi fastjet au real Dr?? Cm ni chama cha zamani.
 
Ben Saa8, I can assure you politics does not need smart people of that level... fanya utafiti utaona! Wa2 wazuri wanafanyiwa Zengwe.....
I don't think this is true, labda hapa Africa. Kwa nchi za wenzetu, education and good brain matter a lot. Kwa mfano, USA, Clinton alikuwa professor wa University, Condeliza Rice the same na sasa Obama just to mention a few. UK, the same strory. Hapa tunaona watu wajinga ndio wakutuongoza. By the way nilikuwa Italy mwaka jana na kubahatika kwenda pale Urbaniana University just for curiosity to see what is there. Nilikutana na prof. mmoja mzee na alipogundua mimi ni M-TZ akaniuliza, unamjua Dr. Slaa, nikamwambia ndio. Akaniulizia na watu wengine baadhi nimewasikia pia. Akaniambia, Slaa was one of our best students. Nilipojaribu kudadisi, nikagundua huyu bwana alitoka pale na distinction. Anyway, tuendelee kujenga nchi as I am not a politician.
 
kilaza kwako ni smart kwa mwingine na smart kwako ni kilaza kwa mwingine, Intellectuals believe 'nothing is good or bad but your Feeling make it so!'

Ungekua na busara hii (sijui umeikariri wapi) usingeandika post zote hizo.Unafiki mbaya sana.Mbona watu mnajichanganya hivi?

Goodnight @All!
 
Wale watakuambia wana maprofesa wa kufuga majini.Umaarufu wao unatosha.

Vijana wengi ambao shule zao zinatia mashaka ili kupiga kazi ni lazima wajisalimishe CCM.Huoni kuna wale walioacha kufundisha wanatumika majukwaani kama mtambo maalumu wa kumwaga matusi?Knowledge wanayo-impart ni matusi!

Hivi ben umeshaua mtu yaani kutoa roho ya binadamu mwenzako? Hivi kama ungefanikiwa kumuua Zitto kwa sumu ungeishije kwenye ulimwengu huu huku una damu ya mtu inakuandama?
 
wewe zero kabisa. Nimekuuliza nini maana ya falsafa wewe unakuja na habari za theology. what a shame. yaaani hujui hata unachoongea.

elimu ya mtu haitetewi kwa thread wala haihitaji wachangiaji wengi kuifafanua, tembelea wasifu wa elimu wa mwesiga baregu, shivji, mwandosya, kimei dau, kigoda, mkumbo,mwakyembe, lipumba,dkt magufuli,tibaijuka na prof Palamagamba uone kama utahitaji matusi na kufungua thread ili ieleweke, elimu ya kanisani au misikitini sio hitajio la Ikulu!
 
Sijui anafanya nini sasa kwenye politics,mtumishi mzuri kabisa kwenye jamii inayotuzunguka
 
elimu ya mtu haitetewi kwa thread wala haihitaji wachangiaji wengi kuifafanua, tembelea wasifu wa elimu wa mwesiga baregu, shivji, mwandosya, kimei dau, kigoda, mkumbo,mwakyembe, lipumba,dkt magufuli,tibaijuka na prof Palamagamba uone kama utahitaji matusi na kufungua thread ili ieleweke, elimu ya kanisani au misikitini sio hitajio la Ikulu!

What is your point Madam ?
 
SLAAA! NAONA UPOO! umetiririka na divinity hadi dakika ya mwisho! kazi kwelikweli............duh! nimecheka sana! hujasoma chochote hapo mzee.
 
Pole nime relaxed hapa mzee unajua muda ambao napumzika ndio wakufanya haya ninayofanya sasa... pole mkuu najua nimekamata ajira yako hapo... anyway one simple thing nakupenda ndio maana nakueleza ukweli na pia napenda pia kumwambia mzee wa watu ukweli.

Umekamata ajira yangu? Yaani hizo adrenalin ulizomwaga hapo zinaweza kweli kuniletea madhara makubwa kiasi hicho?Hofu iliyokutawala itathibitishwa,time will tell.Relax
 
I don't think this is true, labda hapa Africa. Kwa nchi za wenzetu, education and good brain matter a lot. Kwa mfano, USA, Clinton alikuwa professor wa University, Condeliza Rice the same na sasa Obama just to mention a few. UK, the same strory. Hapa tunaona watu wajinga ndio wakutuongoza. By the way nilikuwa Italy mwaka jana na kubahatika kwenda pale Urbaniana University just for curiosity to see what is there. Nilikutana na prof. mmoja mzee na alipogundua mimi ni M-TZ akaniuliza, unamjua Dr. Slaa, nikamwambia ndio. Akaniulizia na watu wengine baadhi nimewasikia pia. Akaniambia, Slaa was one of our best students. Nilipojaribu kudadisi, nikagundua huyu bwana alitoka pale na distinction. Anyway, tuendelee kujenga nchi as I am not a politician.

Absolutely my comments has taken Africa in context especially Bongo.
 
Sasa nimejua kwa nini Mzee Makamba alimwepusha mgombea urais wa CCM 2010 asikubali mdahalo na Dr Slaa.
Pia nimejua kwa nini Kinana alimtupia zigo Nape kwenye mdahalo uliokuwa ufanyike ITV baina ya Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mkuu wa Chadema.
Swali ni je, ikiwa Dr Slaa atagombea Urais kwa tiketi ya Chadema, CCM watamruhusu mgombea wao kushiriki mdahalo?
 
Umekamata ajira yangu? Yaani hizo adrenalin ulizomwaga hapo zinaweza kweli kuniletea madhara makubwa kiasi hicho?Hofu iliyokutawala itathibitishwa,time will tell.Relax

Hahahahaha Ben Sa8, acha hizo mkuu... niko huru kinoma mkuu.... take it easy.... you know when you are not fan au mwanachama wa hivi vyama vyetu uchwara unakuwa huru sana kuongelea taifa lako!!! try it is a if ni mtu ameokoka vile....hahahahah.

Good Nyt boss in case you are in EAC. My apologies for incoveniences ......
 
What is your point Madam ?

tunataka Cv ijieleze isiwe na ulazima wa kukodisha majeshi ya wategaji wa sumu kuifafanua na kuitetea kwa rejea rahisi ndo nimekuwekea hizo za wasomi wa kweli, masuala ya kuanza kuchukua Phd kwa kutumia ki sertificate cha kipalapala seminary halafu unakuja kufanya advanced diploma hatuhitaji mseto na mchanyato wa aina hiyo!! Phd ya slaa ni ipigiwe kura iingie kwenye maajabu saba ya Dunia. Certificate ya kipalapala seminary to Phd kweli kiboko jamaa ni genious zaid ya Isack Newton na Faradays!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom