BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
huyu babu akalee wajukuu hizi zama za vijana
Vijana wa zama za dotcom a.k.a uliberali na standardisation maana vichwani kuna nta. Tuweke u-CCM au u-CDM pembeni, DR.Slaa ni jembe.
huyu babu akalee wajukuu hizi zama za vijana
...mkuu umefafanua vizuri. lakini pia certificate, diploma na degree ni vitu vyenye tafsiri tofauti inategemea unaongelea mfumo upi wa elimu. mfano ujerumani diploma ni kitu tofauti na tunavyoielewa Tanzania.Nikuulize swali rahisi: kama umesoma miaka ya 1980s hapa Tanzania mtu yeyote aliyekuwa anafaulu somo la siasa grade aliyokuwa anapata ni S (kwa maksi zote za ufaulu). Sasa niulizi je ina maana Watanzania hawajawahi kufaulu siasa? Kwa nini mtu akipata 50% alikuwa anapata S sawa na mtu anayepata 100%? Jibu ni rahisi: kwamba mfumo wa grading Tanzania ndivyo ulivyokuwa. Sasa nije kwa swala la Dr Slaa. Miaka aliyosoma Dr Slaa Philosophy na Theology hata Tanzania hapakuwa na chuo ambacho hivi vyuo vilikuwa affiliated maana UDSM hapakuwa na Faculty of Philosphy or Theology tofauti na Makerere University (Uganda) au Chancellor College (Malawi University) ambazo zilikuwa na hizo faculties. Hivyo, wanafunzi wote waliosoma hapa Tanzania kwa wakati huo were subjected to such grading na mwanafunzi akimaliza alikuwa anapata certificate of philosophy or theology siyo kwa sababu ya certificate kama hizo tulizo nazo leo, la. Maana mtu anayepata certificate ni yule ambaye hajafikisha alama za kumtosha kupata diploma au degrii. Lakini kilichohesabika wakati huo ni wastani wa ufaulu ambao ulikuwa umewekwa ili kwamba kama mwanafunzi wa philosphy au theology atapata zaidi ya 75% (distinction) alikuwa anapelekwa kuendelea na masomo kwa ngazi inayofuata ya masomo ya specialisation. Na Dr Slaa alikuwa kati ya wanafunzi waliofaulu vizuri sana na pia alipomaliza masomo yake St Alban University, Rome, (kama sikosei) alipata distinction. Ili mtu aende seminari kuu kwa muda huo ilibidi kwanza awe amemaliza Form VI na amefaulu vizuri (yaani, awe na qualifications za kwenda chuo kikuu). Hivyo, isingewezekana mwanafunzi asome miaka 2 philosphy halafu apate certificate na baadaye asome miaka 4 na apate certificate pia. Na tangu mfumo huo ubadilishwe, wanafunzi wote wanaosoma Ntungamo, Kibosho, St Peters (Segerea) na Kipalapala hakuna anayepata certificate au diploma tena. Wote ni degree na kama mtu hawezi kuipata anarudishwa nyumbani. Lakini wakati ule ndiyo ilikuwa award ya mwisho kwa seminari kuu za Katoliki hapa nchini. Mimi ningekuwa na wasi wasi iwapo chuo alikoenda wangemkataa au angepata matatizo ya usaili/usajili wa masomo yake. Lakini hapakuwa na tatizo na maadam alikidhi vigezo vya kujiunga na chuo kikuu cha St Alban, sioni shida au hujui ni chuo gani? Hebu tafuta kwenye mtandao na uone ni walimu wa aina gani wanaofundisha hapo na ndipo uje ujadili tena elimu ya Dr Slaa.
Usifafanue neno MTIRIRIKO katika slander interpretation.Kwani diwani hapo hoja ilikuwa ni mtiririko wa elimu au hoja ni elimu na ubora wake?
Nb: tupia na ya kwako tukujadili kidogo, tumesharidhika ya dr Slaa tunataka ya mwingine tuanze na ya kwako mkuu wangu
Aiseee, kweli hata mimi sikujua kuwa Dr. Slaa ni Msomi wa hali ya juu kiasi hiki kweli masuala ya Uraia na Dini.
Weakness.
It is absolutely very wrong to select polictics as your career...!!! pole sana mzee.
Nape ameingiaje hapa?....Hopeless! Elimu is about content. anyways hata huo muda unaoutaka soma vizuri utaona miaka inatajwa mitano, saba nk. Kuna faida gani mtu kusoma miaka kadhaa halafu uwezo unaodevelop ni kama wa Nape?
Hiki ni kibabu kizee sana kimezidi hapoKwa wanao mfahamu vizuri huyu Kiongozi wa CHADEMA Bw.W.Slaa ni kweli amefikisha Miaka 70? Mbona haonekani kihivyo? Nina mashaka na hiyo namba nafikiri atakuwa chini ya hapo!