Songoro
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 4,122
- 1,022
Hapo ni lazima uchanganyikiwe.Sio wewe tu watakuja wengine hapa povu la Omo litawatoka.! Tukimaliza kujadili Elimu ya Dr.Slaa sasa tuhamie Elimu ya Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif,Kinana(The Dentist), EL (sanaa na maigizo) JK (Hiyo Gentleman Degree) haina mjadala anyways..........! Kidding but message sent!
On a serious Note,tujadili mifumo ya elimu na sera.Tuache kujadili watu
unapomzungumza Maalim Seif Sharif Hamad jua unazungumzia First Class and Honourable Degree ya public Administration kutoka Udsm enzi hizo wafadhili wa Sumu wanahangaika na vi certificate kusafisha Vyeti ili kanisa limu admit kwenye masomo ya upadri lakin alipoonjeshwa Mbuchuchu ya ki Arusha akalipotezea kanisa!