CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

Status
Not open for further replies.
Unless kama kichwa kimejaa matapishi, lakini thread unayoleta hapa ipo majukwaani kwa miaka sasa. Shughulisha ubongo wako, sio kumtumikia mume bila kufanya hata vetting ya analokutuma.

Darasa 1-7, 9-12, 13-14, shahada ya 1, shahada ya uzamili, shahada ya Uzamifu (phd) ?
 
Mtoa mada hata hueleweki.mpangilio mbovu,hebu tuwekee cheti chako cha form iv hapa tujiridhishe kwamba huu mpangilio wako wa ovyo ovyo ni bahati mbaya au kuna lingine?!halafu CV ya Slaa itatusaidia nini sisi walalahoi ikiwa wale maprofesa mliowalundika CCM hawatusaidii lolote?tunatazama uwezo wa mtu kuongoza sasa hivi.na huyu dokta wetu wa magogoni vipi unaweza kutueleza udokta wake ulivyokuja na katumia miaka mingapi kuusomea maana unaonekana unafuatilia sana!
 
Mimi ni mgeni hapa kwenye Jukwaa. Lakini nauliza, Hiyo CV ya kweli au ndo kutungiwa tuu?
 
Jamani mi namshukuru RITZ kwa kurudia hii thread maana nimepata darsa tosha na nimeamini Dr Slaa ni kichwa bwana.Respect to Dr wa ukweli sio wa kwenye bahasha bwana
 
li·cen·ti·ate (l
imacr.gif
-s
ebreve.gif
n
prime.gif
sh
emacr.gif
-
ibreve.gif
t)n.1. One who is granted a license by an authorized body to practice a specified profession.
2. a. A degree from certain European and Canadian universities ranking just below that of a doctor.
b. One holding such a degree.
 
Hakuna haja ya kutokwa na povu hii thread ni mpya JF kuna members wapya wanaitaji mijadala kama wewe ulijadili siku nyingi kaa pembeni waachie members wapya hii ndio maana ya forums...halafu nikukumbushe acha kulia lia JF sio mali ya Chadema.

Haiwezekani Slaa ni Dokta wa ukweli wewe acha kebehi!
 
kama huna jipya kaa kimya, udkt wa kikwete alisomea wap? Au unaongelea degree za kupeana kama ubuyu? Binafsi ningekuwa na uwezo ningefuta degree zote za kupeana had uzisomeeee.
 
Kwangu mimi kama hukufaulu la 7 ukaingia form 4 ukaingia advance ukaenda chuo kuchukua bachelor miaka mi 3..n.k napata mashaka na elimu yako ukianza kinitajia certificate mara form four shule 3...
 
wewe unafuatilia phd halali za watu wakati sisi tunahangaika na waliomteka dr ulimboka na wanaotaka kuwauwa viongozi wetu watetezi wa haki.akili zingine za ajabu kweli????
sasa hapa mwenye akili za ajabu ni wewe, vumilieni , slaa atatajwa na kujadiliwa kama mnavyo wajadili wengine, jana hapa hapa jukwani tuliingia chumbani kwa ridhwani, na wengi muliunga mkono personal issue za wanasiasa na familia zao zizungumzwe , leo degree ua uongo ya slaa isitajwe. This is ridiculous and biasness ,
 
Najivunia kuwa na Dr. wa ukweli, mwenye elimu ya ukweli, iliyojaa virutubisho vyote...

Hongera Dr. Slaa na mm siku moja nitakuwa na Phd kama wewe...

Hongera Dr.Slaa tena tena...
 
sasa hapa mwenye akili za ajabu ni wewe, vumilieni , slaa atatajwa na kujadiliwa kama mnavyo wajadili wengine, jana hapa hapa jukwani tuliingia chumbani kwa ridhwani, na wengi muliunga mkono personal issue za wanasiasa na familia zao zizungumzwe , leo degree ua uongo ya slaa isitajwe. This is ridiculous and biasness ,

Hebu tupe degree ya ukweli ya babako tuijue...
Shiiittt ......Tunaenda mbali embu tupe degree yako ili tusizunguke mbuyu....
 
Slaa ajitetea kuhusu elimu yake. Jionee mwenyewe
By Dr.W.Slaa :
Ndahani,
Ni haki Yao kujadili. Msiwapuuze
wala kuwakatisha tamaa kujadili.
Inawezekana kweli wapo ambao
kwa nia njema hawajui mfumo wa
Elimu wa Kanisa Katoliki ambao tok
a Seminary Ndogo ( Form 1-V1)
nimepitia Dungunyi Seminary and
Itaga Seminary of which am very
proud na ninatoa shukrani za dhati
kabisa kwa waalimu wangu wote si
tu kwa kunipa elimu bora, Bali pia
kwa kunipa misingi imara ya malezi
( formation) kwani elimu bora ni
zaidi ya vyeti.
Aidha si wengi wanaojua
Philosophia hasa wanafundisha nini.
Kwa bahati mbaya kuna watu
wanadhani wameelimika na kuwa
mavuvuzela kumbe hawajui kitu,
ndio maana ya msemo " nusu elimu
ni hatari sana". Kuna watu Leo
ukiwaambia kuwa masomo ya
philosophia( falsafa) yanahusu
subjects muhimu Kama 1) Ethics 2)
Logic 3)Epistemology 4) Cosmology
5) Metaphysics 6) Psychology na
philosophy yenyewe yaani misingi
ya philosophy hawaelewi
unazungumzia nini na si kosa lao.
Kuhoji is not an issue, issue ni je
anayehoji anahitaji kujifunza au
anahoji kwa ushabiki tu! This is the
issue at stake!
Wako watu wanafikiria Seminary
Kuu unajifunza Theolojia ( Tauhidi).
Hawajui kabisa kuwa miaka 5 ya
masomo ya Theolojia ni pamoja na
complete course on Sociology,
Anthropology, Oratory,miezi Sita ya
mwisho nilipata complete course ya
ukunga kwa kuwa ukiwaambia
Padre vijijini wewe pia ni
ambalance, hivyo lazima ujue
basics za kumhudumia mama
mjamzito unayemkimbiza hospital
ini na kadhalika. Msomi yeyote,
kabla ya kuhukumu anaanza kwa
kutafuta ukweli juu ya jambo na
kufanya utafiti. Prospectus ya
Seminary Kuu ambazo ziko affiliated
kwa vyuo vikuu mbalimbali duniani
zinapatikana, hivyo hakuna msingi
wa mtu kufanya guess work, labda
awe tu na sababu zake na au
agenda yake ambayo nintofauti na
lengo la elimu ambayo ni kutafuta
"full truth" ambayo nayo ni msingi
wa Somo la Epistemology katika
masomo ya Philosophy(Fals-afa).
Katika Vyuo vikuu, ikiwa ni pamoja
na Chuo Kikuu cha Urbaniana
( Roma) nilikosoma Mimi, pamoja na
miaka 7 ya Seminary Kuu
nilizosoma (Kibosho Major
Seminary/ Moshi na Kipalapala
Major Seminary ambazo zilikuwa
affiliated kwa Kwa Makerere
University na Ndiyo maana vyetu
vyangu ni vya Makerere University
na Urbaniana Pontifical University
Rome, 1) Nilianza na Bacclaureate
( equivalent ya BA) na kuandika
Paper baada ya Course Work, na
Licentiate ( Masters) nayo
nikaiandikia Paper na kufaulu, ndipo
nikaruhusiwa kuendelea na JCD).
2) Napennda pia kuwafahamisha
kuwa wengi kwa kutokuelewa
wanafikiria kuwa JCD inafundisha tu
Canon Law. Pamoja na Canon Law
masomo mengine ni 1) Civic Law
( ambayo ni msingi wa sheria zote
inayotokana na Roman Law), 2)
Family Law( ikumbukwe Kanisa
Katoliki ina mfumo kamili wa ki
mahakama kuanzia Courts of First
Instance hadi court of Appeal
( Sacred Rota) na Supreme Court
( signature Apostolica). Huu ni
mfumo kamili wa ki mahakama,
kwa kawaida ukijishughulish-a na
maswala yote ya ndoa,na
Patrimony. 3) Jurisprudence 4)
comparative Law French,
Commonwealth, American, Russian
kwa maana nyingine all major Legal
Systems worldwide. 5) International
Law na branches zake zote. 6)
Principles of criminal Law
( elements ambazo haiku kwenye
Comparative Law na Civic Law.
Ili kufanya Desertation yangu,
nilipaswa kujifunza Lugha 5 ( nje ya
Kiingereza ambayo kwa wanafunzi
wa English Speaking Countries
inahesabiwa kuwa Mother Tongue,
Latin ambayo kwa aliyetoka
Seminary Kama nilivyopitia Mimi
inahesabiwa Kama original
language, na Hebrew ambayo pia
kwa mtu aliyepitia Seminary it was
taken as on Original language, japo
Mimi sikuwahi kujifunza Hebrew
Seminarini). Hivyo nikachagua a)Ki
Italiano ambayo pia ndiyo ilikuwa
Mwdium of Instruction yaani lugha
ya kufundishia,b) Kijerumani
c)French d) Spanish na e)
Portuguese. Hata hivyo focus yangu
ilikuwa kwa Italian na German na
mengine matte nilijifunza kuweza
kufanya research yangu, na
kuniwezesha kusoma lakini Siko
fluent katika kuzungumza.Hii pia ni
kutokana na muda mfupi. Nilipata
course ya Wiki 3 tu ya kujifunza
Lugha kabla sijaingia darasani kwa
masomo proper.
Nimeyaweka kwa uwazi, na
ninadhani wako wanaofahamu
mfumo wa masomo katika vyuo vya
Kanisa Katoliki wanaweza kujazia.
Wako ambao tumesoma nao was
mapadre katika Pontifical
Universities za Rome, Leo
wanashika nafasi kubwa katika
Serikali ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania au nafasi zinging
mbalimbali kwenye Taasisi
mbalimbali. Kwa kuwa nilienda
Roma nikiwa tayari Mkurugenzi wa
Maendeleo Jimbo Katoliki la Mbulu,
nikawa Nina shuttle Kati ya
Pontifical University ya Urbaniana
na Pontifical University ya St.
Thomas Aquinas, Rome ambako
nilisomea Advance Diploma ya Rural
Development.
Nadhani sasa mnaweza kupima
kwa vigezo hivi hoja za mleta
thread hii. Mnaweza kupima nini ni
puma na nini ni mchele. Mnaweza
pia objectively kuangalia depth ya
masomo kwa kulinganisha na
propaganda nyingi zinazopigwa kwa
malengo tu ya upotoshwaji na au
Propaganda. Vyuo vikuu Biko
kwenye mitandao, mleta thread na
wengine wa aina yake wakijisumbua
kidogo tu kuingia kwenye Google
watapata ukweli bila kutafuniwa na
mtu. Tuweke uvivu wa kufikiri
pembeni tunapojadili mambo
makubwa na mazito. Nafasi ya kila
mmoja kujipatia Elimu bora ipo
Kama watu tutakubali kujisumbua na
kuacha uvivu wa kufikiri. Nchi
haitaendelea kwa propaganda na
otoshwaji, Taifa halitaendelea kwa
wivu....shika Kitabu. Soma.
Jichimbie utavuna lakini Kama
utakesha kwenye mitandao kufanya
Propaganda badala ya kuchota
elimu bora tena ya bure kwenye
mitandao utaachwa unajiozea!
Nawahimiza wote wenye kupenda
Taifa lao kujichimbia. Innovation ni
msingi wa maendelo na Innovation
haipatikani kwa majungu na umbeya
inapatikana kwa wanaochimbia
vichwa vyao kwenye utafiti,
kujisomea na kujiendeleza. Tupende
Taifa letu, uzalendo uwe kwa
matendo na sio Maneno matupu.
 
Aiseee, kweli hata mimi sikujua kuwa Dr. Slaa ni Msomi wa hali ya juu kiasi hiki kweli masuala ya Uraia na Dini.

Weakness.

It is absolutely very wrong to select polictics as your career...!!! pole sana mzee.
 
Haya sasa wanaohoji elimu yake wanaweza kujipima naye? Habari ndiyo hiyo. Je shule yako.ni ya kiwango gani?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom