CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

Status
Not open for further replies.
Aiseee, kweli hata mimi sikujua kuwa Dr. Slaa ni Msomi wa hali ya juu kiasi hiki kweli masuala ya Uraia na Dini.

Weakness.

It is absolutely very wrong to select polictics as your career...!!! pole sana mzee.
Ana uchungu na nchi yake.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Aiseee, kweli hata mimi sikujua kuwa Dr. Slaa ni Msomi wa hali ya juu kiasi hiki kweli masuala ya Uraia na Dini.

Weakness.

It is absolutely very wrong to select polictics as your career...!!! pole sana mzee.

Kasheshe,

Ulitaka watu bogus waachiwe siasa? Hutaweza kuikomboa Zanzibar kwa mawazo haya
 
Last edited by a moderator:
I agree but he got it wrong...

Hapo ni lazima uchanganyikiwe.Sio wewe tu watakuja wengine hapa povu la Omo litawatoka.! Tukimaliza kujadili Elimu ya Dr.Slaa sasa tuhamie Elimu ya Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif,Kinana(The Dentist), EL (sanaa na maigizo) JK (Hiyo Gentleman Degree) haina mjadala anyways..........! Kidding but message sent!

On a serious Note,tujadili mifumo ya elimu na sera.Tuache kujadili watu
 
Haya sasa wanaohoji elimu yake wanaweza kujipima naye? Habari ndiyo hiyo. Je shule yako.ni ya kiwango gani?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Na wengi wao wanaohoji inawezekana hata mto hawajavuka na ukitaka kuwagundua, angalia comments zao na namna wanavyoandika, products za voda faster.
 
Tuache wivu huyu bwana amepata elimu bora

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Hapo ni lazima uchanganyikiwe.Sio wewe tu watakuja wengine hapa povu la Omo litawatoka.! Tukimaliza kujadili Elimu ya Dr.Slaa sasa tuhamie Elimu ya Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif,Kinana(The Dentist), EL (sanaa na maigizo) JK (Hiyo Gentleman Degree) haina mjadala anyways..........! Kidding but message sent!

On a serious Note,tujadili mifumo ya elimu na sera.Tuache kujadili watu

Naona unamtetea m.e.o hapa kwa degree ya kanisa halafu anataka kuongoza taifa na elimu yake ya biblia.
 
Watu mtapata shida ya bure tu; niliwahi kuuliza - ili kulinganisha tu - Prof. Juma Mikidadi kasomea nini hadi akafikia mahali na kutambuliwa kuwa ni Profesa? Na siyo tu amesomea nini bali amesomea 'wapi'? Kwanini elimu na vyuo na mambo aliyosomea Prof. Mikidadi vikubalike lakini alichosomea na aliposomea dr. Slaa visikubalike?
 
Dr..kapiga shule aise...si mchezo....vijana wa CCM walivo sijui hata kama wataelewa hiyo shule iliyoelezwa hapo....mana kwa michango yao humu uwezo wao unatia mashaka makubwa...
 
Unajiita kijana lakini chama chako hukujua kama ni cha mrengo wa Kiliberali hadi juzi ulipoona wabunge wako wakipandisha mapepo bungeni.Jifunze kujisomea ujue dunia inaendaje.Matusi yako kwa Chadema na viongozi wake siku zote humu hayakusaidiiAcha kufuata mkumbo!
nilisahau na panya nao wapo bro wanasumbua kama niuzie kama unaona noma kunipa bure
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom