Customer care representatives

dbrane

Member
Jul 23, 2012
31
5
vp jaman hivi ajira za customer cares kwenye mitandao yetu ya cm zinakwendaje? Airtel wapo na spanco, ila kupata balaa, cjui tigo voda na zantel hali ikoje. Wana jamvi tujuzane kuhusu hz position.
 
vp jaman hivi ajira za customer cares kwenye mitandao yetu ya cm zinakwendaje? Airtel wapo na spanco, ila kupata balaa, cjui tigo voda na zantel hali ikoje. Wana jamvi tujuzane kuhusu hz position.

KAMA HAUMJUI MTU BASI MUOMBE MUNGU SANA otheryz wanaoshikwa mkono na cv hawa2mi HARD COPY ndio wanaziopata.
 
jamani na mie napenda hata hiyo kazi,afadhalli leo nimegugundua kama kunakubebana.plz naombeni na mie mnibebe.
 
Jamani wauu, mtu ameamua kusaidia mwacheni atoe msaada, hapa sote tunasaidiana
 
Erolink wanatoa kazi hizo kwa mitandao yote mikubwa Tigo,Voda,Airtel...peleka CV yako kwa hao jamaa watakusaidia!! Usisahau nasikia wananyanyasa kiasi chake maana hawana mshindani kwenye hayo makampuni,si wajua tena wa tanzania kama huna mshindani?
 
mimi ni mmoja wapo nilipiga AIRTEL CUSTOMER CARE, kazi yake si ya kitoto hasa shift za usiku. wananyanyasa
Lakini, .....mtumikie kafiri upate ujira wako.
 
tigo wako na NFT CONSULT! hao erolink mhmhmh! mungu anajua aiseee! yani haya makampuni bora yasingekuwepo!
 
mimi ni mmoja wapo nilipiga AIRTEL CUSTOMER CARE, kazi yake si ya kitoto hasa shift za usiku. wananyanyasa
Lakini, .....mtumikie kafiri upate ujira wako.

Mkuu wengi airtel wanalalamika na kuacha,...ngoja nijaribu kuomba
 
are u? compentent enough to work at call center please ni pm

obama mi mgeni hapa siwezi kukupm bt nitafurahi kama nitapata customer care bt ni voda au zantel not airtel au tigo sababu spanco nawajua men
thanks if you can assist me i will be happy
 
Back
Top Bottom