Customer care representatives

Mshahara wa kuanzia laki na nusu, unakua unafanya kazi masaa manne kwa siku for 3 month, ukionyesha upo serious unaaamishiwa kwenye masaa nane unapanda hadi 270,000 per month, u stay there in probation for 6 month ukionyesha u still serious unakua permanent employed mshahara unapanda hadi kwenye 350,000 , cha msingi ni juhudi zako and i support them spanco coz watanzania ni watu wa ajabu we r not hardworkers at all, mtu anataka apokee mshahara while kazi hafanyi,Mtu anataka apokee mshahara wakati kwa mwezi ana ED Kumi za uwongo mtupu hakuna kuumwa kichwa wala mafua, mtu anataka apokee mshahara mwisho wa mwezi wakati mda wote yupo busy facebook while attending customers,,, Cha msingi cha kufahamu pale spanco kuna watu mnapokea simu sawa mnafanya kazi wote masaa nane lakini mwisho wa mwezi wanaondoka hadi na 1 million as Basic Salary
We ni mwongo!! Au labda km umeolewa na wahindi wa spanco ndio unawatetea....hakuna mpokea simu anaechukua mshahara wa milion spanco pale ( sasa wanajiita Ison BPO).....jamaaa wazinguaji sana, watanzania tunageuzwa watumwa nchini mwetu.
 
vp jaman hivi ajira za customer cares kwenye mitandao yetu ya cm zinakwendaje? Airtel wapo na spanco, ila kupata balaa, cjui tigo voda na zantel hali ikoje. Wana jamvi tujuzane kuhusu hz position.
kuna Customer Care na Customer Service Representative
..Customer care imebase zaidi kwenye kupokea simu za wateja na kutatua matatizo muda huo au kuyawasilisha back office
..Customer Service Representative ndio wale wanaokaa kwenye maduka kama ma brand ambassador wa kampuni husika
hapa wa ajiri wakuu ni Recruitment Agencies,,, kuna ISON, NFT,INFINITY,SPANCO na wengine wengi
unazipataje nafasi hizi either kwa kupeleka CV kwenye ofisi za hizo agency au upate connection kutoka kwenye mtandao moja kwa moja mtu aombe CV yako then ufanyiwe interview
 
We ni mwongo!! Au labda km umeolewa na wahindi wa spanco ndio unawatetea....hakuna mpokea simu anaechukua mshahara wa milion spanco pale ( sasa wanajiita Ison BPO).....jamaaa wazinguaji sana, watanzania tunageuzwa watumwa nchini mwetu.
Hata wale wakongwe waliojiriwa tangu enzi za Zain, hawajafikia mshahara wa 1m? Wapo customer care waliuzwa kwa spanco wakitokea Zain na baadae airtel HQ Moroko then spanco BPO mtava ndani ya Quality Centre
 
obama mi mgeni hapa siwezi kukupm bt nitafurahi kama nitapata customer care bt ni voda au zantel not airtel au tigo sababu spanco nawajua men
thanks if you can assist me i will be happy
chukua cv yako tu, peleka ofisi za erolink ziko morroco au kama mgeni nenda mpka mwenge chukua bajaj ya jero waambie akupeleke BN, kuna walinzi pale waambie nmeleta cv erolink. BN inapakana na chuo cha tumaini dar
 
Hata wale wakongwe waliojiriwa tangu enzi za Zain, hawajafikia mshahara wa 1m? Wapo customer care waliuzwa kwa spanco wakitokea Zain na baadae airtel HQ Moroko then spanco BPO mtava ndani ya Quality Centre
wanalipa kulingana na viwango vya serikali kwa wanaofanya telecommunication companies ambayo ni 2050 kwa lisaa labda km kutakuwepo bonus ndo kidogo inapanda. kama una njaa na huna pa kwenda cyo mbaya ukaazia huku
 
chukua cv yako tu, peleka ofisi za erolink ziko morroco au kama mgeni nenda mpka mwenge chukua bajaj ya jero waambie akupeleke BN, kuna walinzi pale waambie nmeleta cv erolink. BN inapakana na chuo cha tumaini dar
ni uhakika ajira...? ama ukipeleka wanakusahau...?
 
Back
Top Bottom