Customer care representatives

Customer care representatives

NFT wapo Mikocheni kwa Nyerere....ukishashuka pale just ask wale madereva wa tax wa pale watakuelekeza tu. Spanco wapo Kinondoni Morocco Airtel Building, Infinity Communications wapo Kinondoni/Mikocheni Ursino Estate....kama unatokea town, teremka Morocco kisha nenda mbele hadi unavuka traffic lights za pale Morocco as if unaenda mwenge....ukishavuka tu hayo mataa, chukua first turning to the right(hiyo ndo Ursino Rd) kisha fuata hiyo bara bara up to nearly 500m na mkono wako wa kulia utakuta bango la Infinity....huo mtaa ni maarufu kama Mikocheni kwa JK! Erolink, fuata hayoo maelekezo ya kwenda Infinity from Morocco Traffic Lights....so, wakati Infinity unachukua firts turning to the Right, Erolink unachukua first turning to the Left...i.e, kulia unaelekea Infinity, kushoto unaelekea Erolink.
Mind: NFT mainly for Tigo
Infinity mainly for Zantel na Tigo kidogo
Spanco mainly fo Airtel
Erolink for Voda.

thanx kwa maelezo yako, nimeyanote mahali nianze safari ya kupeleka c.v
 
Infinity ni ya Fisadi Johnson Rukaza,pia ana ofisi pale TRANIC PLAZA... ambayo Plaza iyo ni ya kwake... chedhea kina Rukaza...
 
Mshahara wa kuanzia laki na nusu, unakua unafanya kazi masaa manne kwa siku for 3 month, ukionyesha upo serious unaaamishiwa kwenye masaa nane unapanda hadi 270,000 per month, u stay there in probation for 6 month ukionyesha u still serious unakua permanent employed mshahara unapanda hadi kwenye 350,000 , cha msingi ni juhudi zako and i support them spanco coz watanzania ni watu wa ajabu we r not hardworkers at all, mtu anataka apokee mshahara while kazi hafanyi,Mtu anataka apokee mshahara wakati kwa mwezi ana ED Kumi za uwongo mtupu hakuna kuumwa kichwa wala mafua, mtu anataka apokee mshahara mwisho wa mwezi wakati mda wote yupo busy facebook while attending customers,,, Cha msingi cha kufahamu pale spanco kuna watu mnapokea simu sawa mnafanya kazi wote masaa nane lakini mwisho wa mwezi wanaondoka hadi na 1 million as Basic Salary

intresting news, wewe upo spanco?
 
Ni kweli usemacho.ila kwa maisha ya mtu kujitegemea mwenyewe na salary ya lak na nusu kwa mwez lazma kuumwa na kukosa nauli alafu unasingizia ugonjwa
 
vp jaman hivi ajira za customer cares kwenye mitandao yetu ya cm zinakwendaje? Airtel wapo na spanco, ila kupata balaa, cjui tigo voda na zantel hali ikoje. Wana jamvi tujuzane kuhusu hz position.

Hao wanatumia system ya "kamlete"
 
Yeon pm means private message when u open ur profile kuna mahali utaona pm it means unam2mia m2 haisomwi public kam me nnavyoandka hapa
 
ku pm ndo unafanya vp naomba muongozo

ndugu Yeon karibu JF.....ku PM ni kumtumia mtu "Private Mesage" ambayo haitosomwa na yoyote isipokua huyo uliemkusudia,,...natumai umenielewa
 
Kaka kumbe na wewe ni job seeker? hahaha, kweli jf kuna mambo. Kuna siku ulikua unajitapa kwamba ulimaliza chuo kitambo, na kwamba una kazi yako nzuri tu, mara una kampuni, aisee!! Ama mko wawili mnatumia ID moja nini?
Hahaha hata mim hapa nimeshtuka kidogo ingawa post ni ya zamani kidogo kwa kumbukumbu zangu jamaa aliwahi toa comment juu ya kifo cha prof gani sijui huko COET(Udsm) nikajua kapiga Telecm Engineering..nimeshtuka kwa kweli..!
 
Mshahara wa kuanzia laki na nusu, unakua unafanya kazi masaa manne kwa siku for 3 month, ukionyesha upo serious unaaamishiwa kwenye masaa nane unapanda hadi 270,000 per month, u stay there in probation for 6 month ukionyesha u still serious unakua permanent employed mshahara unapanda hadi kwenye 350,000 , cha msingi ni juhudi zako and i support them spanco coz watanzania ni watu wa ajabu we r not hardworkers at all, mtu anataka apokee mshahara while kazi hafanyi,Mtu anataka apokee mshahara wakati kwa mwezi ana ED Kumi za uwongo mtupu hakuna kuumwa kichwa wala mafua, mtu anataka apokee mshahara mwisho wa mwezi wakati mda wote yupo busy facebook while attending customers,,, Cha msingi cha kufahamu pale spanco kuna watu mnapokea simu sawa mnafanya kazi wote masaa nane lakini mwisho wa mwezi wanaondoka hadi na 1 million as Basic Salary

We lazima utakuwa supervisor ha ha ha
 
Back
Top Bottom