Current Situation In Rwanda!

Current Situation In Rwanda!

Video haifunguki Anko tuma hata link ya youtube

Sent using Jamii Forums mobile app
Iko katika muonekano huo
Screenshot_20200315-104706_1584258466466.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
PK anataka kuirithisha familia yake nchi ya Rwanda?
 
Kagame kaituliza Rwanda na anastahili pongezi

Mzee Museveni aache kuingilia mambo ya ndani ya nchi jirani.
 
Mimi nimeenda Rwanda mara kadhaa. Kuna ukweli mwingi kwenye hii video. Mojawapo ya kitu serikali ya Rwanda walifanikiwa kudanganya ni kuonesha kwao mambo ni tambarare. Huko ni mkono wa Chuma tu. Na ukiacha Kigali, Rwanda hamna kitu.
Anamiliki jela ya chinjachinja inaitwa Gitarama prison inaitwa jehanam of Africa Google uone
 
Kitambo Sana! Tena Bora Ye Yuko Hai! Nimecheki History Ya Huyo Chalii mwimbaji walivyomdedisha Huko Jela! Dah!....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona tunoana ripoti za Transparency Int. kuwa Rwanda ni nchi ambayo inaongoza kwa kutokuwa na matumizi mbaya ya madaraka (corruption) ikiwa imezizidi nchi zote za Afrika Mashariki na Kati hadi baadhi ya nchi za Ulaya?
 
Akiondoka lzm ilipuke ilitakiwa atengeneze mfumo imara hata asipokuwepo uendelee kuwepo.
Yeye ndie chanzo cha yaliyotokea lkn
Mbona tunoana ripoti za Transparency Int. kuwa Rwanda ni nchi ambayo inaongoza kwa kutokuwa na matumizi mbaya ya madaraka (corruption) ikiwa imezizidi nchi zote za Afrika Mashariki na Kati hadi baadhi ya nchi za Ulaya?
Hii inamaanisha nini? Inawezekana kiongozi mkuu akawa corrupt (ana abuse power) halafu huko kwingine kukawa vizuri?
 
Back
Top Bottom