tiffanykinondoni
Member
- Jan 31, 2018
- 37
- 306
Hoja yako ni ipi hasa?USA (the United States of America) ni nchi yenye muundo wa shirikisho wa nchi 52 (Federal), kila nchi ina gavana na senata wake ambapo jeshi la polisi linawajibika kwao kwa sheria walizojitungia. Jeshi pekee ndio linapokea amri kutoka kwa amiri jeshi mkuu ambaye ni Rais
Laiti kama Afrika nayo ingekuwa USA (the United States of Africa) hapo ndipo ingefaa wawepo hao majenerali wengi, lakini kwa Tanzania ambayo inaundwa na mikoa ambayo karibu kila kitu ni tegemezi kutoka serikali kuu kasoro kwa machache kupitia serikali za mitaa itawezekanaje uwe na majenerali labda kwa kanda nane na utawadhibiti vipi? Rejea kilichotokea Minnesota kwa Minneapolis lutoka kwa rai waliokasirika kuuwa George Floyd ulinganishe na uvamizi wa jeshi kwenye kituo fulani cha kuhesabia na kujumlisjia kura na kupora 'servers' ndio ujue athari za amri ni zipi.
Uongozi wa kijeshi huenda kwa ranks na kwamba mdogo kwa cheo hawezi kumuongoza ( command) mkubwa wake. Iwapo viongozi wa rank moja (Mf. Maj.gen)wanakuwa pamoja inaangaliwa aliyetangulia kwenye cheo ndiye hupewa heshima ya ukuuKwa nini?
Mbona kwingine haiko hivyo?
Marekani kwenye majenerali 40 na kitu huwa wanaongozanaje?Uongozi wa kijeshi huenda kwa ranks na kwamba mdogo kwa cheo hawezi kumuongoza ( command) mkubwa wake. Iwapo viongozi wa rank moja (Mf. Maj.gen)wanakuwa pamoja inaangaliwa aliyetangulia kwenye cheo ndiye hupewa heshima ya ukuu
Hapa kwa Mzee Kaguta Museven mbona wapoSiyo Marekani tu yenye majenerali wa nyota nne jeshini…
Hujui unachokiongelea!
Hata huko Marekani idadi ya hao 4 Star General haiamuliwi na uwepo wa Federation bali ukubwa na division za jeshi.Hoja yako ni ipi hasa?
Kwani hakuna nchi ambazo si shirikisho zenye Active Uniformed 4 Star General zaidi ya mmoja?
Marekani cheo cha juu zaidi ni generali wa nyota tanoKuna mtu hapo juu kadai huwezi kuwa na active four star generals kwa wakati mmoja kwa sababu eti italeta tatizo la ukosefu wa nidhamu!!
Huko Marekani jeshi lina ukosefu wa nidhamu kwa sababu majenerali wa nyota nne wapo 45??
Exactly!Hata huko Marekani idadi ya hao 4 Star General haiamuliwi na uwepo wa Federation bali ukubwa na division za jeshi.
Federation has nothing to do on the number of the 4 Star Generals
Siyo kweli, 5-star general kilikuwapo zamani kikitolewa wakati wa vita tu; hakipo tena sasa hivi, cheo cha mwisho ni 4-star general ingawa wakati wa vita kinaweza kurudishwa.Marekani cheo cha juu zaidi ni generali wa nyota tano
Wako vitani mazingira yanaruhusuHapa kwa Mzee Kaguta Museven mbona wapo
Active Four Star Generals 9
Liutenant Generals 5
Major General 12
Brigadiers 56
Huyo anaitwa General of the Army (GA)Marekani cheo cha juu zaidi ni generali wa nyota tano
Siyo kweli, 4-Start General kwa marekani hutolewa kwa merit siyo kwa sababu ya need. Sharti kubwa ni kuwa mtu ukiwa 3-star general, inabidi ufanye vizuri zaidi ndani ya miaka mitatu kumerit 4-stars, ukishindwa, basi unatakiwa ustaafu. Mifano ya walioshindwa kufikia 4-star ni pamoja na Lt General Ricard Sanchez kutokana na skendo za Iraki, Lt General Michael Flynn. Ukiwa 4-Star unaweza usiwe na division bali ukawa mmoja wa mabigwig wa pentagon kusubiri assignement. General David Patreaus alikuwa Pentagon tu hadi alipokabidhiwa command ya IraqiHata huko Marekani idadi ya hao 4 Star General haiamuliwi na uwepo wa Federation bali ukubwa na division za jeshi.
Federation has nothing to do on the number of the 4 Star Generals
Issue ni utolewaji wa cheo au uwepo wa idadi ya cheo husika?Siyo kweli, 4-Start General kwa marekani hutolewa kwa merit siyo kwa sababu ya need. Sharti kubwa ni kuwa mtu ukiwa 3-star general, inabidi ufanye vizuri zaidi ndani ya miaka mitatu kumerit 4-stars, ukishindwa, basi unatakiwa ustaafu. Mifano ya walioshindwa kufikia 4-star ni pamoja na Lt General Ricard Sanchez kutokana na skendo za Iraki, Lt General Michael Flynn. Ukiwa 4-Star unaweza usiwe na division bali ukawa mmoja wa mabigwig wa pentagon kusubiri assignement. General David Patreaus alikuwa Pentagon tu hadi alipokabidhiwa command ya Iraqi
Vyeo hutolewa kwa merit, ila kuna mechanism ya kucontrol visitolewe hovyo hovyo.Issue ni utolewaji wa cheo au uwepo wa idadi ya cheo husika?
Siyo kweli, cheo bado kipo ila hakijatolewa kwa mtu since 1981.Siyo kweli, 5-star general kilikuwapo zamani kikitolewa wakati wa vita tu; hakipo tena sasa hivi, cheo cha mwisho ni 4-star general ingawa wakati wa vita kinaweza kurudishwa.
Active service yupo mmoja tuuMajenarali wa nyota 4 wako wangapi Tanzania?
Unakuwa reserve force huna nguvu ndani ya jeshi. Ni raia wa kawaidaUkistaafu ina maana cheo nacho ndio basI? Wakina Mwamunyange, Waitara, Mboma hawawezi kuitwo in case of emergency?
Uwongo, vyeo huamuliwa kwa nafasi ya mtu. Kuna nafasi ukichaguliwa lazima uwe na cheo fulani ili uweze kuitumikia hiyo nafasi.Vyeo hutolewa kwa merit, ila kuna mechanism ya kucontrol visitolewe hovyo hovyo.
Haya ni mawazo yako tu au hata TPDF wanajua hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii imewekwa kudhibiti mapinduzi bado nchi yetu haijakuwa kubwa kisiasa
Ikumbukwe jkt ni ipo ndani ya tpdfmkuu usichanganyikiwe.
kuna jeshi la ulinzi la wananchi(jwtz)anga,ardhi,maji.
kuna jeshi la kujenga taifa(jkt)
kuna jeshi la polisi tz(pt)
kuna jeshi la magereza(tp)
tunapotaja majeshi duniani kwa maana yake kwa ujumla basi tanzania tutataja jwtz(tpdf)na si mengine niliyoorodhesha hapo.lakini katiba yetu imeyaongeza hayo kwa makusudi ile ile ya angalau kujazia nyama kidogo just icase kimehappen,(majeshi ya akiba).
hayo si komandi wala vikosi vya jwtz ila ni akiba ya jwtz,isipokuwa jkt ambayo kwa sasa ni sehemu ya jwtz.