Current four star Generals in Tanzania

Hilo sakata nalijua mkuu
 
Hizi cod sasa!!

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
Wakati wa jk vyeo vinne vya juu vilikua hivi, brigadie general alikua ana *** ngao ya taifa, major general ngao ya taifa na mkasi,luteni general ngao ya taifa na mkasi, general * ngao ya taifa na mkasi, sasa kipi kilipelekea mabadiliko ya nyota katika vyeo vinne vya juu
 
This kinda makes sense...though I’m not certain if that’s the reason why we don’t have more than one four star general at once...
Mtu kakujibu kwa Kiswahili wewe unamwandikia English..

Mbona unakuwa mjinga namna hiyo wewe tajiri wa kingereza maskini wa mali
 
Four star general lazima awe mmoja... hawawezi kuwa wawili, lazima mmoja astaafu ndio mwingine haweze kuteuliwa.

Kwa nchi gani unazungumzia wewe? Tushaaambiwa USA, India na China siyo mmoja.
 

Vita ya Kibiti [emoji1787]
 
Mimi ningependa nione record za kushiriki,kuongoza mapigano ya kivita ya hawa ma general

Ova
Wengi wao hawajawahi enda huko

Hawa generals wa miaka hii Ni mmoja tu aliingia front Ni luten general mwakibolwa aliestaafu mwaka juzi hapo .

Aliwasambaratisha m23 kule Kongo

Wengine wote wanapanda vyeo kisiasa tu
 
Kwanini maafisa wengi wanazungushwa sana na kustaafu kwenye kanali. Hawafiki kule juu.
 
Kwanini maafisa wengi wanazungushwa sana na kustaafu kwenye kanali. Hawafiki kule juu.
Maisha yote vyeo vya kijeshi ni kama Funnel, chini pana juu nyembamba, na ndivyo ilivyo au sawa na mfano wa mnara, chini mpana juu mwembamba, kumaanisha chini mnakuwa wengi lakini kadiri miaka mnvyokwenda juu ndio kuna m'bano wa hali ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…