kmwemtsi
Senior Member
- Nov 7, 2010
- 125
- 2
Ukitafakari kura za wagombea uwakilishi SADC kwa upande wa upinzani utagundua kuwa Wabunge wote wa CCM, NCCR, TLP, CUF etc walimpigia mgombea kupitia CUF. Hii inathibitisha kuwa CCM na CUF ni kitu kimoja na ndio sababu mgombea wa CUF alijitoa kugombea unaibu spika ili apate support ya CCM kwenye uwakilishi SADC:nono: