ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,398
- 45,770
- Thread starter
- #1,121
Unatuchanganya watesi 🤣🤣Yeah unajua nimerudisha username yangu watu walishaizoea ile
Hahaha 😁
Umemkataa kwa sababu ni mzuri sana kwamba umejiona wewe hu deserve?No siwezi mtaja sio vzr ...tunawasiliana kupitia other mitandao ...mkaka mzuri ndo maana nilimkataa nilihofia kulalwa na kuachwa
Juzi kati kanikumbusha nilivyomkataa nikamwambia ukweli ....akasema mawazo ya kijinga hayo, who knows 🤷♂️ ingekuwaje....
Na hajaoa😆😆😆
Aiseee umeniboa 😭😭
Ungenipa sababu nyingine ningeelewa 😂