Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 555
- 1,108
Naimagine hyo immeasurable taste 😍😭ooooh jamaniiii kuni crush tu ndo ulie na ukinikula jee🥹🥹
Naimagine hyo immeasurable taste 😍😭ooooh jamaniiii kuni crush tu ndo ulie na ukinikula jee🥹🥹
Furaha yangu watu wakipendana ♥️Unapenda nn
Muone 😄
Eeeh amtaje tu hata akiwa ni crush wangu safii tu mbona 😅😅Mara paap kamtaja
Hahaa
Penzi likiwa changa linanoga! Siunaona wewe na twin wako🏃Furaha yangu watu wakipendana ♥️
Penzi changa ni kuanzia muda gani dear 😅😅Penzi likiwa changa linanoga! Siunaona wewe na twin wako🏃
Sahv mngekuwa na vitoto vyenu vinneHahaaa
Maarufu humu kitambo hiko tumejiunga tuko kwenye 20's.....hahaaa
Siku 1 mpaka itakapofika siku mnatamani kuchat ila story hamnaPenzi changa ni kuanzia muda gani dear 😅😅
Marcostilone baby una laSiku 1 mpaka itakapofika siku mnatamani kuchat ila story hamna
Mnabebishana kwenye bundle langu?Marcostilone baby una la
kusema hapa 🥹🥹
Hilo huwa linatokea kama mmechokana tu baby, zero residue!Marcostilone baby una la
kusema hapa 🥹🥹
Kwahiyo mimi na baby wangu tumechokana?Hilo huwa linatokea kama mmechokana tu baby, zero residue!
😆😆😆😆mmhSahv mngekuwa na vitoto vyenu vinne
SanaaaPenzi likiwa changa linanoga! Siunaona wewe na twin wako🏃
😄😄😄Nataka kuli-tag limtu limoja sema akili yake ni hovyo sana litaanza kuhisi mambo ya ajabu wakati mimi nalipendea ujinga wake tu, ngoja nifikirie vizuri kwanza!
Hapana kiongozi wangu.Vipi mkuu kuna tatizo la ki ufundi upande wako kuhusu hii mada?
Jina lako nalifananisha na rafiki yangu mmoja.Hapana kiongozi wangu.
Possibility 70%, kuna sababu nyingine ya msingi kweli tofauti na hiyo?Kwahiyo mimi na baby wangu tumechokana?