Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

ShesRise_1 ,sikutegemea
Niseme nini sasa ShesRise_1 kwani haujiu kuwa wewe ni crush wangu toka muda tu ila nikastaajabu unawataja wazee kabisa wakati kijana mwenzio nipo .

Roho iliuma ila sasa kwakuwa umenitaja hapa wacha niseme tu ,mimi nazikubali mada zako kichizi na kule selfika zile kama ni picha zako basi ,njoo la mama tujenge life ,muhuni nimependa ila ndiyo vile kujieleza jau sana .

Sisy Seran huyu akawe mkwilima kabisa aisee
 
Hutegemea nini tena mpenzi😎
Niseme nini sasa ShesRise_1 kwani haujiu kuwa wewe ni crush wangu toka muda tu ila nikastaajabu unawataja wazee kabisa wakati kijana mwenzio nipo .
Sasa kuwataja wazee kuna shida gani wa kwetu
Roho iliuma ila sasa kwakuwa umenitaja hapa wacha niseme tu ,mimi nazikubali mada zako kichizi na kule selfika zile kama ni picha zako basi ,njoo la mama tujenge life ,muhuni nimependa ila ndiyo vile kujieleza jau sana .
Shenziiiii zako kijana nitakuokotea mawe 🤣🤣🤣

Angalia unavyojizima data😀
Sisy Seran huyu akawe mkwilima kabisa aisee
Msalimie mkwilima wako ☺️
 
Back
Top Bottom