Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Mda mwingine demu ukijua scandal zake kuna namna inakata bn, mfano we saiv umchukue ex wa Min Me utashindwa hata kumsifia hapa jukwaani we ukisema demu ana harufu ya asili yeye atasema mdomo wake unatoa harufu ya kitunguu.
ex wa min -me siwezi kumchukua bwashee,ni lazima atakua ananuka Bia kama Glasi za Bar.
 
Ni nani unaye crush naye hapa jukwaani? 😄

Hapa jukwaani pamekuwa sehemu ya enjoyment kwa baadhi ya watu, darasa kwa wengine, na sehemu ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kufahamiana.

Sasa tuambie ni nani unaye crush naye hapa jukwaani?

Sisemi lazima iwe crush ya kimapenzi No

Inaweza kuwa ni kwa sababu unapenda namna anavyoandika, madini anayotoa, ucheshi wake, namna anavyojenga hoja, au hata comments zake zinavyokuvutia.

Mimi nina crushes wangu wengi tu hapa jukwaani 😄

Na wewe je, taja wako ni nani, na ni kitu gani hasa kinakufanya umpende au um-appreciate?

Watu ninao wa crush jukwaani

For Boys
👇
Marcostilone huyu nime mbatiza jina The Thinker 🧠

Mshana Jr my Dad ❤️

Tlaatlaah hapa kwa wale wapenda siasa mnisamehe kidogo yeye anajua zaidi🐒

ERoni Babu hakosi kwenye kikao cha wazee😌

Kwa girls 👇

binti kiziwi 🧠
Binti wa zamani 🍑🍆
win-one kakorofi haka🤪

ShesRise_1 🤚
hapo kwangu umensingizia kabisaa mi sio timu korofi jamni 😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom