CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

How do I withdraw money to my local bank account?
Here’s how to withdraw money from your PayPal balance to your local bank account:

  1. Log in to your PayPal account.
  2. Click Transfer to your bank or Withdraw Moneybelow your PayPal balance.
  3. Click Transfer money to your bank account.
  4. Enter the amount you want to withdraw.
  5. Select the bank account you want to credit, then click Continue.
There’s no charge to withdraw money from your PayPal balance to your local bank account. Some banks may charge a fee for transfers. Contact your bank directly for more information.

Transfers requested before 7:00 PM ET on business days are typically deposited the next business day, depending on your bank. All withdrawals are subject to review and, in some cases, may be delayed or blocked if we identify a problem. Additionally, bank transfers will not be deposited on bank holidays.

You can also withdraw money from your PayPal balance by requesting a check. (There’s a fee of $1.50 USD for check withdrawals.)
Unaona unavyokariri! Wakati wenzako wanaongea based on their experience wewe una-rely na nini kimeandikwa kwenye website za PayPal!!! Usichofahamu ni kwamba hayo maelezo yana-apply kwenye nchi ambazo PayPal Accounts zina-receive cash na sio kila nchi! Kuna baadhi ya nchi including Tanzania; PayPal accounts haziwezi kupokea fedha! Hapa hapa JF mwakajana tulianzisha movement tukitaka privilege ya Tanzania's PayPal ziwe na uwezo wa kupokea pesa kwa sababu kwa hivi ilivyo; ni kwamba always tutakuwa buyers and not sellers!!!
 
Mimi shida yangu ipo tofauti nimeshaitaja hapo juu ila sijapata majibu. Nimeuliza iwapo umenunua kitu ukalipa moja kwa moja kwa maana ukaingiza details zako za card. Then hela ikamfikia supplier. Kwa sababu funali fulani supplier akasema atai reverse part ya hela. Ile hela ikiwa reversed inaenda wapi maana hapo hakuna cha pay pal? Naomba ambao wapo sober wanijibu?
Mkuu Kwa case Kama Hiyo seller inabidi umpe bank details zako ili akurudishie pesa zako. Seller anakuwa Hana PayPal account yako ambayo transfer ya pesa huhitaji username tu. By the way Ile visa/ master card yako, details zake Kama Ac number, card number Na zile three digits za nyuma ni Siri zako. Kama uki share Na mtu yeyote utapoteza pesa zako
 
Watu humu shule sijui tunaenda kufanya nini umesema umenunua kupitia PayPal na pesa iko PayPal sasa hapo Crdb atarudishaje hela wakati iko kwenye acc yako ya paypal? Ni lazima wewe uhamishe pesa iliyoko PayPal kwenda bank kwasababu bank haina access na account yako ya paypal

umeelewaje hapo?

ajabu nikishalipwa na seller hela yangu huwa hairudi kwenye akaunti. Na mara nyingi nikirudishiwa hela paypal nao huwa wananitumia email kwamba nimerudishiwa hela na kwakuwa huwa nanunua kwa kutumia CRDB Visa Card hela yangu huwa inarudi kwenye akaunti yangu.
 
Shida ya shule za kata kwani pesa amekwambia iko bank au paypal ? Na PayPal acc ni ya benki au mteja?

Na mara nyingi nikirudishiwa hela paypal nao huwa wananitumia email kwamba nimerudishiwa hela na kwakuwa huwa nanunua kwa kutumia CRDB Visa Card hela yangu huwa inarudi kwenye akaunti yangu.
 
Natumia huduma ya kadi kufanya manunuzi online na kwa muda mrefu nimekuwa nikinunua vitu online kupitia paypal (gateway) lakini huwa inatokea muda mwingine nikanunua kitu halafu seller akashindwa kuleta nafungu kesi paypal na baadaye seller anaamua kunilipa (refund) lakini cha ajabu nikishalipwa na seller hela yangu huwa hairudi kwenye akaunti. Na mara nyingi nikirudishiwa hela paypal nao huwa wananitumia email kwamba nimerudishiwa hela na kwakuwa huwa nanunua kwa kutumia CRDB Visa Card hela yangu huwa inarudi kwenye akaunti yangu.

Hivi karibuni yapata kama mwezi mmoja na siku kadhaa hivi nilifanya transaction online ya $139.99 ambayo kwa hela ya kibongo ni kama 316,632 Tsh. Baadaye seller akasema kwamba ameishiwa na stock kwahiyo atarudisha hela yangu ili baadaye akiwa na bidhaa stock atanitaarifu nilipie tena. Baada ya siku tatu seller akanitumia meseji kwamba ameni-refund tayari na baadaye paypal wakathibitisha kwamba nimerudishiwa hela na imerudi kwenye akaunti yangu. Niliwasiliana na watu wa customercare kwa email nikawaambia juu ya suala hilo nao wakawasilisha kwenye Idara ya Refunds, baada ya hapo nikapokea email kutoka kwao kwamba niwatumie receipt ya refund hiyo kwa pdf nikafanya hivyo na nikawatumia na refunds zangu za nyuma ambazo kwa kipindi chote sikuwahi ziona kwenye bank statement yangu kama zimerudi.

Sasa cha ajabu tangu niwatumie hizo receipt hadi leo ni mwezi mzima hakuna mtu yeyote aliyetoa jibu kwamba nini kinaendelea, nimewaandikia emails zaidi ya saba hawajibu na nimewasiliana na watu wa customercare wanasema tatizo lako tumeliwasilisha wanalishughulikia. Lakini cha ajabu kwa kipindi hiki chote ninachosubiri kupata majibu kutoka kwao kuna harufu ya wizi naiona. Kuna thread kama hii niliisoma hapa kwenye jukwaa inaelezea jinsi wanavyoshirikiana kuzila hizo pesa za refunds kwa kugawana kuanzia kwa wakubwa wa vitengo hivyo ndio maana kwenye suala langu la kudai refunds zangu kuna kigugumizi kikubwa.

Najua kuna wengine wanaweza kuwa na experience kama hii nawaombeni mjitokeze hapa maana nafikiri hii siyo misingi bora ya utoaji huduma especially kwa Benki kubwa kama CRDB ambayo wateja wengi tunaiamini. Inaweza kuwa kuna watu wachache wanafanya hizo mambo na kuichafua Bank lakini nashangaa hata watu wa customer service nao kutojibu querry za wateja ni maadili ya kazi zao?
JE UNAJUA MAANA WIZI?
 
kwa ulewa wangu watu wa current a/c ( za kibiashara) ndo wanaweza fanya overdraft sasa mm ka a/c kangu ka kudunduliza vi saving unanipa deni hyo hela bora hata ningekuwa naipata basi unakuta hata sijaiona nafikir kuna utundu utundu wa vijana wa IT pale
Tatizo watu wanajifanya wanajua sana. Overdraft ni huduma ambayo mtu anaomba haimaanishi kama wewe una akaunti ya hundi unakuwa na uwezo wa overdraft. Saving account inaweza kuwa na deni kwasababu fulani, na kujua nisababu gani? mimi kama mteja natakiwa kuonge na benki husika kujua nini shida?
 
Natumia huduma ya kadi kufanya manunuzi online na kwa muda mrefu nimekuwa nikinunua vitu online kupitia paypal (gateway) lakini huwa inatokea muda mwingine nikanunua kitu halafu seller akashindwa kuleta nafungu kesi paypal na baadaye seller anaamua kunilipa (refund) lakini cha ajabu nikishalipwa na seller hela yangu huwa hairudi kwenye akaunti. Na mara nyingi nikirudishiwa hela paypal nao huwa wananitumia email kwamba nimerudishiwa hela na kwakuwa huwa nanunua kwa kutumia CRDB Visa Card hela yangu huwa inarudi kwenye akaunti yangu.

Hivi karibuni yapata kama mwezi mmoja na siku kadhaa hivi nilifanya transaction online ya $139.99 ambayo kwa hela ya kibongo ni kama 316,632 Tsh. Baadaye seller akasema kwamba ameishiwa na stock kwahiyo atarudisha hela yangu ili baadaye akiwa na bidhaa stock atanitaarifu nilipie tena. Baada ya siku tatu seller akanitumia meseji kwamba ameni-refund tayari na baadaye paypal wakathibitisha kwamba nimerudishiwa hela na imerudi kwenye akaunti yangu. Niliwasiliana na watu wa customercare kwa email nikawaambia juu ya suala hilo nao wakawasilisha kwenye Idara ya Refunds, baada ya hapo nikapokea email kutoka kwao kwamba niwatumie receipt ya refund hiyo kwa pdf nikafanya hivyo na nikawatumia na refunds zangu za nyuma ambazo kwa kipindi chote sikuwahi ziona kwenye bank statement yangu kama zimerudi.

Sasa cha ajabu tangu niwatumie hizo receipt hadi leo ni mwezi mzima hakuna mtu yeyote aliyetoa jibu kwamba nini kinaendelea, nimewaandikia emails zaidi ya saba hawajibu na nimewasiliana na watu wa customercare wanasema tatizo lako tumeliwasilisha wanalishughulikia. Lakini cha ajabu kwa kipindi hiki chote ninachosubiri kupata majibu kutoka kwao kuna harufu ya wizi naiona. Kuna thread kama hii niliisoma hapa kwenye jukwaa inaelezea jinsi wanavyoshirikiana kuzila hizo pesa za refunds kwa kugawana kuanzia kwa wakubwa wa vitengo hivyo ndio maana kwenye suala langu la kudai refunds zangu kuna kigugumizi kikubwa.

Najua kuna wengine wanaweza kuwa na experience kama hii nawaombeni mjitokeze hapa maana nafikiri hii siyo misingi bora ya utoaji huduma especially kwa Benki kubwa kama CRDB ambayo wateja wengi tunaiamini. Inaweza kuwa kuna watu wachache wanafanya hizo mambo na kuichafua Bank lakini nashangaa hata watu wa customer service nao kutojibu querry za wateja ni maadili ya kazi zao?
Mhhh hii sio kweli mimi nI mtumiaji sana wa huduma hii ya kununua vitu online especially pay pal na ninatumia account na card yangu ya CRDB lakini sijawahi pata matatizo. Ni kweli pesa huwa zinashikiliwa Kwa Masaa kadhaa yasiyozidi 48 lakini baada ya hapo pesa yangu huachiliwa na kukatwa kiasi nilichotumia tuu. Nakushauri uwasiliane nao Kwa e mail Yao customer-hotline@crdbbank.com na number ya simu 0755 197700 na utapatiwa huduma haraka. Benki haimuibii mtu tuache kupotosha jamii Kwa akili zetu finyu na uelewa mdogo... watafute watakusaidia CRDB BANK wapo vizuri jmn
 
Sasa jamaa amepata shida anaomba msaada wewe unamsaidiaje maana umeingilia tu thread kuleta ubishii. Muelekeze hatua stahiki ambazo anapaswa afanye wewe si unadai una uzeofu na mbao ya benki? Kama huna msaaada kwake ni mara kumi ukanyamaza tu
Unadhani msaada anaupata huku zaidi ya kutokwa na maneno na kulala tuh! Nenda kwenye page yao ya facebook, twitter lakini pia unaweza kuongeano kwenye website yao (www.crdbbank.com) utapata msaada.
 
Mhhh hii sio kweli mimi nI mtumiaji sana wa huduma hii ya kununua vitu online especially pay pal na ninatumia account na card yangu ya CRDB lakini sijawahi pata matatizo. Ni kweli pesa huwa zinashikiliwa Kwa Masaa kadhaa yasiyozidi 48 lakini baada ya hapo pesa yangu huachiliwa na kukatwa kiasi nilichotumia tuu. Nakushauri uwasiliane nao Kwa e mail Yao customer-hotline@crdbbank.com na number ya simu 0755 197700 na utapatiwa huduma haraka. Benki haimuibii mtu tuache kupotosha jamii Kwa akili zetu finyu na uelewa mdogo... watafute watakusaidia CRDB BANK wapo vizuri jmn
Kweli kabisa jana tu nimepokea refund toka kwao maada ya kupokea barua pepe toka paypal.
 
Yes you are right mkuu. Pay Pal ni kama secondary vendor. Yaani badala hela kwenda moja kwa moja kwa primary vendor inashikiliwa na secondary vendor. KWa hiyo kama secondary vendor anatakiwa kurudisha hela kwenye akaunti. Ila inaonekana kuna tatizo kwa Tanzania kurudishiwa hela. Ila kwa nchi nyingine hela unaikuta kwenye akaunti yako. Kuna watu ambao wanatumia account za paypal kuuza bidhaa nje ya nchi imebidi watumie benki za nje. Benki za ndani bado hazipo tayari kwa fursa ya e-commerce.Wana support tu payment kwa maana hela zinaenda direction moja tu (customer to supplier/vendor). Hakuna bidirectional movement ya hela..
Je unahakika Benki za ndani hawatoi hiyo huduma. Unaweza toa mfano wa benki uliyoenda ukaambiwa hakuna hiyo huduma? Tatizo wabongo tunataka kufanyabiashara ofisi kwenye begi ambayo haitambuliki kisheria.
 
Haujaelewa kabisa.. bila shaka wewe ni mmoja kati ya wale wanne. Mleta maada jaribu kutumia cash card ya bank ABC sijawahi kupata usumbufu wowote kwenye refund ingawa nao wana usumbufu kwenye kudeposit pesa kwenye kadi hasa kwa kuhamisha kutoka mpesa, hata ukienda mwenyewe bank kwa cashier ukadeposit inaweza kuchukuwa hata wiki hadi pesa zionekane
Mimi nilituma pesa kwenda kwenye cashcard kutoka tigopesa ni miez sasa hela haijaingia nilienda wakasema watafatilia mpaka leo hola
 
Mimi shida yangu ipo tofauti nimeshaitaja hapo juu ila sijapata majibu. Nimeuliza iwapo umenunua kitu ukalipa moja kwa moja kwa maana ukaingiza details zako za card. Then hela ikamfikia supplier. Kwa sababu funali fulani supplier akasema atai reverse part ya hela. Ile hela ikiwa reversed inaenda wapi maana hapo hakuna cha pay pal? Naomba ambao wapo sober wanijibu?
Mkuu jibu bi simple, sio lazima uwe na degree kujibu. Mfano ukitoka mzigo sehemu A kwenda sehemu B kisha mtu wa B akasema nimerudisha mzigo. Wewe unadhani amerudisha wapi?
 
Mpaka ninavyoandika hapa ni returns za takribani Euro 400. Yapata miezi miwili sasa. CRDB International House nahisi ndio wanaosababisha kadhia hii kwa wateja. Kuna mtu amenishauri niumie Kado za Exim. Hawana usumbufu wa aina hii and kwa wateja.
Unajua unachozungumza lakini?
 
Mimi nilituma pesa kwenda kwenye cashcard kutoka tigopesa ni miez sasa hela haijaingia nilienda wakasema watafatilia mpaka leo hola
Tuwe wa kweli jamani, ndio maana watu wanasema mnawachafua. cashcard ndio nini?
 
Mkuu usiwe mkali. Hauko sahihi. Mimi nimetumia Paypal toka miaka ya 2009. Refund huwa zinarudi kwenye debit account. Na hii experience ya CRDB nimeipata pia. NBC hawakuwa na shida.

Watu humu shule sijui tunaenda kufanya nini umesema umenunua kupitia PayPal na pesa iko PayPal sasa hapo Crdb atarudishaje hela wakati iko kwenye acc yako ya paypal? Ni lazima wewe uhamishe pesa iliyoko PayPal kwenda bank kwasababu bank haina access na account yako ya paypal
 
Mhhh hii sio kweli mimi nI mtumiaji sana wa huduma hii ya kununua vitu online especially pay pal na ninatumia account na card yangu ya CRDB lakini sijawahi pata matatizo. Ni kweli pesa huwa zinashikiliwa Kwa Masaa kadhaa yasiyozidi 48 lakini baada ya hapo pesa yangu huachiliwa na kukatwa kiasi nilichotumia tuu. Nakushauri uwasiliane nao Kwa e mail Yao customer-hotline@crdbbank.com na number ya simu 0755 197700 na utapatiwa huduma haraka. Benki haimuibii mtu tuache kupotosha jamii Kwa akili zetu finyu na uelewa mdogo... watafute watakusaidia CRDB BANK wapo vizuri jmn
mimi pia huwa Nanunua vitu kwa njia ya mtandao...na nafanikiwa sana.. hebu wwtanzania tubadilike kidogo kulalamika katika mitandao haisaidii na wala hapa sio pa kumaliza tatizo lako..watafute kwa number zao za simu au tuma email kwenda customer-hotline@crdbbank.com utasaidika haraka Huduma kwa wateja ya CRDB kiukweli wapo vizuri sana hebu jaribu hata kuwatumia taarifa zako inbox ya Facebook au instagram utasaidiwa pia...mimi nikikwama ndo huwa natumia njia hiyo katika kuwaafuta....Fanya hivyo sasa hivi utasaidiwa wapo 24 hrs katika mitandao ya kijamii...na katika kuwahudumia wateja kwa njia ya simu!
 
Sasa mkuu bush lawyer imeingiaje hapa? Jamaa yuko sahihi. Inawezekana ulikuwa wafanya kazi NMB wakati hawana international debit cards.

Nimefanya kazi benki shida mnajifanya mnajua kumbe bush lawyer kwenye kadi yako kuna alama ya PayPal? Na unaelewa maana ya visa au MasterCard?
 
Mkuu hivi umeshawahi tuma email huko na mara ngapi ukajibiwa immediate? Hiyo email tumeitumia nasi sio wewe tu. Kuna namba za simu pale kibao, lakini kuna wakati utapiga hadi utachoka.

Back
Top Bottom