CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

Tatizo watu wanajifanya wanajua sana. Overdraft ni huduma ambayo mtu anaomba haimaanishi kama wewe una akaunti ya hundi unakuwa na uwezo wa overdraft. Saving account inaweza kuwa na deni kwasababu fulani, na kujua nisababu gani? mimi kama mteja natakiwa kuonge na benki husika kujua nini shida?
Na mm nlifanya hvyo mkuu a/c ilipoanza soma negative nikawaomba bank statement ila nilipopaswa kulipia ile hela nikashindwa i deposit kwenye a/c yangu maana tayar kuna negative balance na ningeiweka ile 15 elfu kwa ajir ya bank statement ingekatwa so tukashindwa kuja na ufumbuz bila kupitia bank statement ila binafsi sikuwah toa zaidi ya nacho kiweka kwa upande wao wanadai kuna hela iliingia kwenye a/c yangu kimakosa sasa msema ukwel bank statement aliposhindikana kupatikana nikatelekeza tu a/c sikuwa na jinsi
 
Mimi shida yangu ipo tofauti nimeshaitaja hapo juu ila sijapata majibu. Nimeuliza iwapo umenunua kitu ukalipa moja kwa moja kwa maana ukaingiza details zako za card. Then hela ikamfikia supplier. Kwa sababu funali fulani supplier akasema atai reverse part ya hela. Ile hela ikiwa reversed inaenda wapi maana hapo hakuna cha pay pal? Naomba ambao wapo sober wanijibu?

Seller akisha refund hela inarudi kwenye card master or visa hizi nazo ni agency za CRDB so kinachofanyika CRDB ukishawapatia details za refund nao huwa wana claim hizo hela kutoka master au visa card ndo wakuingizie ww mteja ktk acc yako
 
Dah vichwa hivi kweli tunafugia nywele nikuulize kwenye PayPal acc yako pesa IPO au haipo? Kama ipo hamisha kurudi kwenye acc yako ya benki na kama umehamisha haijafika ilo ndo hoja

Ww hamuna kitu hata paypal inaonekana hujui ni kitu gani hela itakuwepo ktk acc ya paypal nani kaiweka hawa wamekusaidia kufanya secured payment sasa hela inaenda kwao au kwa seller kinachokuchanganya unashindwa kuelewa paypal anazo kazi nyingi sikatai kuwa huwezi kuweka hela ktk acc yako ya PayPal inawezekana kabisa lkn kwa issue ya purchase wao hela inapitia tu in a secured and buyers protection that is all kuna nyuzi nyingi tu za online purchase kasome utaelewa pole pole
 
Dah vichwa hivi kweli tunafugia nywele nikuulize kwenye PayPal acc yako pesa IPO au haipo? Kama ipo hamisha kurudi kwenye acc yako ya benki na kama umehamisha haijafika ilo ndo hoja

Na kitu kingine sio kila seller analipwa kwa paypal kila seller ana njia zake anazo accept mfano ebay wao wanatumia paypal aliexpress wanatumia sana alipay fastjet wanatumia pesapal zote hizi ni agency za secured payment online sio kwamba ukifanya malipo kupitia agencies hizi hela zitakuwa zimeenda kwao hata ukiwa refunded sio kuwa itarudishwa kwao ila itarudishwa kupitia kwao
 
Cheki hiyo link niliyoweka hapo chini. Nimesema nimepata challenge kwa hiyo bado natafuta solution. kuna benki wanayo sintoitaja ipo lakini kuna mtu ambaye tayari ana experience ameniambia kidogo kuna ka usumbufu fulani kwenye transaction za namna hiyo. Kwa hiyo hiyo thread niliweka ni ili kupata maelekezo benki ipi nyingine niende ndo lengo la kuuliza. Kwa hiyo kama unafahamu benki gani niende it will save me time. Kuuliza si ujinga. The way unavyohamaki ni kama vile sipaswii kuuliza humu..
 
What is wrong with you nigga? Hebu soma maelezo yake vizuri. Ameandika kwamba hajibiwi emails kwa hiyo ameomba watu wampe experience yao kama wana face similiar problem? Mbona mnakurupuka sana?
 
Mkuu jibu bi simple, sio lazima uwe na degree kujibu. Mfano ukitoka mzigo sehemu A kwenda sehemu B kisha mtu wa B akasema nimerudisha mzigo. Wewe unadhani amerudisha wapi?
Nilichotaka ni kujua tu utaratibu upo vipi mimi kuipata hiyo hela. Suala la kusema haitaji degree la nini tena? Hivi kuuliza ni kosa mkuu? Mbona wengine wanajibu vizuri tu wewe ndo unajibu kwa nyodo nyodo.. Kuna mkuu kanielewesha freshi tu taratibu nazopaswa kufanya...Au ndo umeingia na ID nyingine?
 
Mhhh hii sio kweli mimi nI mtumiaji sana wa huduma hii ya kununua vitu online especially pay pal na ninatumia account na card yangu ya CRDB lakini sijawahi pata matatizo. Ni kweli pesa huwa zinashikiliwa Kwa Masaa kadhaa yasiyozidi 48 lakini baada ya hapo pesa yangu huachiliwa na kukatwa kiasi nilichotumia tuu. Nakushauri uwasiliane nao Kwa e mail Yao customer-hotline@crdbbank.com na number ya simu 0755 197700 na utapatiwa huduma haraka. Benki haimuibii mtu tuache kupotosha jamii Kwa akili zetu finyu na uelewa mdogo... watafute watakusaidia CRDB BANK wapo vizuri jmn
Nimewasiliana nao hadi nimechoka sasa ni mwezi mmoja na siku kadhaaa hamna mtu yeyote aliyenipa hata jibu kwamba nisubiri au kunajambo fulani linafanyika, hiyo email yao kama ungeweza kuona ningekupa email yangu inbox uone kuna email zangu zaidi ya saba nimewaandikia hakuna jibu wala maelezo yeyote zaidi hao wa customer service huwa wananionyesha kwamba wanazifowadi kwa DCO (sitaki mtaja jina) lakini huyo mtu hana msaada. Niliwaambia japo waniambie ni nini kimetokea au kinaendelea hawajibu. Nimetumia ile live chat yao karibuni mara nane nawasiliana nao wanasema tumewaambia watashughulia, what else do you want me to do or to believe?
 
Watu humu shule sijui tunaenda kufanya nini umesema umenunua kupitia PayPal na pesa iko PayPal sasa hapo Crdb atarudishaje hela wakati iko kwenye acc yako ya paypal? Ni lazima wewe uhamishe pesa iliyoko PayPal kwenda bank kwasababu bank haina access na account yako ya paypal
Mpaka utoe kashfa kwanza halafu ndo umueleweshe.I hate this kind of people
 
Wote tunanun
mimi pia huwa Nanunua vitu kwa njia ya mtandao...na nafanikiwa sana.. hebu wwtanzania tubadilike kidogo kulalamika katika mitandao haisaidii na wala hapa sio pa kumaliza tatizo lako..watafute kwa number zao za simu au tuma email kwenda customer-hotline@crdbbank.com utasaidika haraka Huduma kwa wateja ya CRDB kiukweli wapo vizuri sana hebu jaribu hata kuwatumia taarifa zako inbox ya Facebook au instagram utasaidiwa pia...mimi nikikwama ndo huwa natumia njia hiyo katika kuwaafuta....Fanya hivyo sasa hivi utasaidiwa wapo 24 hrs katika mitandao ya kijamii...na katika kuwahudumia wateja kwa njia ya simu!
wote tunanunua vitu online ni kweli. Ila je ushawahi kuwa refunded hela? Maana hilo ndo swali la msingi. Na sidhani kama umesoma post yote ya mtoa mada vizuri kabla ya kuandika..
 
Watu humu shule sijui tunaenda kufanya nini umesema umenunua kupitia PayPal na pesa iko PayPal sasa hapo Crdb atarudishaje hela wakati iko kwenye acc yako ya paypal? Ni lazima wewe uhamishe pesa iliyoko PayPal kwenda bank kwasababu bank haina access na account yako ya paypal
Good
 
Nilichotaka ni kujua tu utaratibu upo vipi mimi kuipata hiyo hela. Suala la kusema haitaji degree la nini tena? Hivi kuuliza ni kosa mkuu? Mbona wengine wanajibu vizuri tu wewe ndo unajibu kwa nyodo nyodo.. Kuna mkuu kanielewesha freshi tu taratibu nazopaswa kufanya...Au ndo umeingia na ID nyingine?
ID nyingine unamaanisha nini? Hakuna nyodo mkuu ni ujibuwa wangu, napenda kutoa jibu la wazi na kwa mifano.
 
ID nyingine unamaanisha nini? Hakuna nyodo mkuu ni ujibuwa wangu, napenda kutoa jibu la wazi na kwa mifano.
Wewe hujatoa jibu umeuliza swali. Kuna mdau yeye ndo amenipa jibu nililolielewa.. End of discussion...
 
Wengi mnakurupuka kujibu kabla hamjasoma post. Mtu anaulizia suala la refund watu wanatoa majibu ya kuhusu wao kununua. Nani ameuliza hayo maswali? Mnatoa majibu tofauti na hoja. Swali ni je ,mlishawahi kukutana na ishu ya ambapo unatakiwa kurudishiwa refund au kupokea malipo kwenye akaunti yako? Hakuna anayejibu kwa ufasaha wengi nafikiri wanasoma tu title ya thread bila kuelewa anachokiongelea mtoa post na kukurupuka kujibu. Tunajua mmeshawahi kununua. Je imeshawahi tokea mkarudishiwa hela na ikaingia kwenye akaunti bila shida? Hili ni swali naona wengi hawajalielewa mpaka sasa wanaishia kuota majibu ambayo mtoa mada hana shida nayo Mfano yeye ameongelea ishu ya kutopata response halafu anatokea mjinga mwingine anamshauri awaandikiee wakati jamaa kishasema categorically kwamba amewaandikia seven times hawamjibu? Hivi mnashindwa kusoma tu simple maandishi?
 
Na mara nyingi nikirudishiwa hela paypal nao huwa wananitumia email kwamba nimerudishiwa hela na kwakuwa huwa nanunua kwa kutumia CRDB Visa Card hela yangu huwa inarudi kwenye akaunti yangu.
Inachukua muda gani kkwa uzoefu wako?
 
Back
Top Bottom