We bhana ingawaje una lugha za hovyo huku ukijifanya ni banker lakini wala HUJUI lolote! Kwanza kuonesha hujui lolote ni hapo unaposema eti pesa inakuwa PayPal sasa CRDB watarudishaje!
Mosi, Tanzanian PayPal Accounts hazi-receive cash; umeelewa?! Kwahiyo hakuna pesa itakayokuwa kwenye PayPal account. Unaponunua kitu online kwa kutumia PayPal, pesa itakuwa debited from customer account na itakuwa kwenye escrow account na sio customer's PayPal account!
PayPal wanachofanya ni kusubiri confirmation kwamba Buyer amepata mzigo ili wali-release fund to the Seller.
Inapotokea dispute kama vile Buyer kutopata mzigo, PayPal watafanya verification na wakijiridhisha kwamba mteja hakupata mzigo, ile pesa iliyokuwa escrow, PayPal watairudisha lakini haiingii moja kwa moja kwenye account ya mteja bali to one of the bank's accounts kama vile suspense account au akaunti nyingine yoyote maalumu kwa ajili ya hizo transactions lakini haiendi moja kwa moja kwa mteja!!!
The problem with hizi bank zetu ni kuchelewa kufanya reverse of entries. Pesa from PayPal ikifika kwenye bank accounts (NOT CUSTOMER ACCOUNT), huwa wanachelewa ku-reverse na inaweza kukaa hapo hadi siku watu wanafanya reconciliation ndipo wanakuta kuna entries zinazotakiwa kuwa credited to customers accounts.
Hapo juu unajigamba wewe ni banker na labda upo CRDB! To be honest, unawachoresha CRDB manake hata kuongea kama banker hujui!
Lakini mwisho tu nimtoe hofu
rkgx kwamba, kuibiwa sio rahisi! Pesa inayoingia Suspense Account inaweza kuchezewa na staff mpumb'avu peke yake! Unaweza kuchelewa kuipata lakini utaipata tu siku wakifanya reconciliation kwa sababu hapo watakuwa wanatafuta ku-balance na kutafutia maelezo every single entry ambayo itabaki kwenye suspense account!!