dkashombo2013
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 539
- 119
Paypal ni gateway ndio kwani kabla ya kununua si unahamisha pesa kwenda PayPal then to seller? Na kwenye PayPal si ndo umemkabidhi pesa toka bank? Sasa hiyo acc ya PayPal benki inaijua? Benki ina access na akaunti yako ya PayPal? Were ndo unatakiwa kuhamisha tena pesa toka PayPal to bank account kama ulivyohamisha toka bank kwenda PayPal sio unalopoka kwakuwa una mb za kujitoa ufahamu JF
Ww kila kitu sio shule shule ni moja na uelewa wa kitu ni issue ingine ktk mambo ya online kubali ww ni mtupu hata km una shule ya wapi elewa kuwa ktk online purchase kuna parties wengi yaani mteja,bank,card ajents km visa au master card pamoja na gateway km paypal au alipay sasa ww hapa kulingana na maelezo yako hujui role ya kila mmoja jifunze kwanza ndio uwaite watu hawakwenda shule kawaida ukiwa refunded hela inapitia ktk channels km ilivyoenda kutoka kwa seller paypal ni kukusaidia ufanye secured payment master card na visa card ni ma ajents wa kadi za bank na bank ni owner wa acc ya mteja ndo ana pesa ya mteja sasa pesa ikiwa refunded inaenda paypal???