BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,837
Vipi mkuu, walikurudishia. I have the same problem nimekutumia sms inbox
Sent using Jamii Forums mobile app
Guys I have been contacted by the bank today na wameniambia suala langu liko kwenye hatua za mwisho za marejesho na huenda fedha yangu ikarudi leo, japo majibu kama haya nafikiri ningeyapata tangu awali ingekuwa vizuri zaidi maana ningejua muendelezo wa suala hili kuliko kukaa kimya na kutojibu email zangu but anyway asanteni guys kwa ku-share experiences yenu hapa maana sisi ni wateja wa huduma hii ya online na tumekuwa tukipata usumbufu mkubwa, kuna watu wanafanya mass procurement ya huduma mbalimbali kupitia online na inapotokea wanapata refunds huwa wanapata usumbufu mkubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app